Biblia inavyosema juu ya kuinuka kwa Uislam

BIBLIA sio Muungano wa agano la kale na jipya, kwa sababu Agano la kale na Agano jipya SIO VITABU.

Jifunze kutofautisha kati ya:

Agano la kale VS Vitabu vya Agano la Kale
Agano jipya VS Vitabu vya Agano Jipya

Swali langu liko palepale.

AGANO JIPYA NI NINI?
 
Ni kutojua Lugha tu

Biblia ina OLD NA NEW TESTAMENT

SASA aliyekwambia TESTAMENT NI AGANO NANI?


AGANO NI COVENANT
 
Paul atakuua kwa pressure ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

Huyo ndo Paul kiboko ya waislamu
 
Andiko hili apa Kuna jina Paulo hapo?

Quran 36:14
Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwenu.
Koran ukisoma bila kusoma tafsir unatoka kapa kabisa
Apo ukiulizwa majina ya ao watu watatu huna jibu mpaka ukimbilie tafsir

Sasa tafsir imemtaja Paul kwa sababu waislamu wa siku hizo wamelishana wamchukie Paul unadiriki mpaka kumuita muislamu mwenzako ibn kathir kafiri
 
Agano la kale umelijua kupitia nn๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…?
 
Ni kutojua Lugha tu

Biblia ina OLD NA NEW TESTAMENT

SASA aliyekwambia TESTAMENT NI AGANO NANI?


AGANO NI COVENANT
kwa hyo agano hulijui ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…? Mbona kila mtu anasema yake mboba mwenzio kakubali....Maana mna makundi mengi kama wanamuziki.
 
Paul atakuua kwa pressure ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

Huyo ndo Paul kiboko ya waislamu
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Mtume wa mchongo ..Mnachanganyana kila mtu bara kuna vitabu vimetolewa mara kanisa la kwanza Roma hawa mara katoliki.

Mpaka maandiko yanakufikia huko umasaini tayar ni mkono wa paulo kuwadanganya.
 


Embu nenda kamtete Allah huko na uislam,christian prince anaufanya vibaya uislam,na msipokuwa makini huyu jamaa atafanya damage kubwa sana.
Endeleeni kuikosoa bible mkijidanganya Quran ni perfect[emoji23][emoji23],mwamba anafunua mkia watu wajionee utupu wa mbwa.
 
asante
 


Pole mkuu Hawa watu HAWAJUI kusoma.
MTUME WAO ALIROGWA.


Tatizo hamjui kusoma!

ู‡ููˆูŽ ุงู„ู‘ูŽุฐููŠ ุจูŽุนูŽุซูŽ ูููŠ ุงู„ู’ุฃูู…ู‘ููŠู‘ููŠู†ูŽ ุฑูŽุณููˆู„ู‹ุง ู…ู‘ูู†ู’ู‡ูู…ู’ ูŠูŽุชู’ู„ููˆ ุนูŽู„ูŽูŠู’ู‡ูู…ู’ ุขูŠูŽุงุชูู‡ู ูˆูŽูŠูุฒูŽูƒู‘ููŠู‡ูู…ู’ ูˆูŽูŠูุนูŽู„ู‘ูู…ูู‡ูู…ู ุงู„ู’ูƒูุชูŽุงุจูŽ ูˆูŽุงู„ู’ุญููƒู’ู…ูŽุฉูŽ ูˆูŽุฅูู† ูƒูŽุงู†ููˆุง ู…ูู† ู‚ูŽุจู’ู„ู ู„ูŽูููŠ ุถูŽู„ูŽุงู„ู ู…ู‘ูุจููŠู†ู

[ AL - JUMUA' - 2 ]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ