Hiyo picha haijibu swali.
Umesema wakati Paulo akiwepo Biblia Ilikuwepo.
BIBLIA imekuwa compiled karne ya 5 wakati ambapo Paulo alikuwa ameshakufa.
Compilation ya vitabu ndio imezaa kitu kinaitwa BIBLIA.
Sasa, Paulo aliwezaje kuikuta BIBLIA wakati yeye akiwa hai hakukuwa na kitu kinachoitwa BIBLIA?