Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Nyinyi mmeshakuwa ni watu wa kudanganyana tuUnakiri maandiko ya waislamu ni uongo ?
Koran 36:14
(so We reinforced them with a third,) means, `We supported and strengthened them with a third Messenger. ' Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu`ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham`un and Yuhanna, and the name of the third was Bulus, and the city was Antioch (Antakiyah).
Andiko hili apa Kuna jina Paulo hapo?
Quran 36:14
Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwenu.
36:15
Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni watu kama sisi. Na Mwingi wa Rehema hakuteremsha kitu. Nyinyi mnasema uwongo tu.
36:16
Wakasema: Mola wetu Mlezi anajua kwamba hakika sisi tumetumwa kwenu.
36:17
Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi.
36:20
Na akaja mtu mbio kutokea upande wa mbali wa mjini, akasema: Enyi watu wangu! Wafuateni hawa walio tumwa.
36:22
NA KWA NINI nisimuabudu yule aliye niumba na kwake mtarejeshwa?
36:23
Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa.
36:24
Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.
36:25
Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, basi nisikilizeni!
ZINGATIA HAYA ILI USIDANGANYWE TENA
1) Hiyo Aya ya Quran haikutaja jina hivyo anayeweka jina hapo anakuwa ameongeza automatically anakuwa ameshakuwa kafiri
2) Hao Mitume waliotumwa hapo waliwambia hao watu kuwa Mungu wenu ni mmoja mnatakiwa mumuabudu yeye peke yake
Paulo hahakukundisheni hivyo yeye amekufundisheni miungu wapo 3 na Yesu ni Mungu
3) kama hapo katika hao Mitume yupo Paulo basi tuseme Paulo alikuwa muislam kitu ambacho hakiwezekani
4) Watu wa huo mji waliangamizwa Kwa Kelele za malaika Baada ya kukaidi maagizo ya Mungu kupitia hiyo Mitume
Katika historia ya maandiko hakuna mji wowote uliyoangamizwa Kwa Kelele za malaika tokea alipo zaliwa Yesu Hadi Leo Mitume ya zamani sana ndio watu wao walikuwa wanaangamizwa
Nawapeni pole nyinyi wagalatia walianzisha hiyo dini wamejipanga vizuri nyinyi mliobakia kazi yenu ni kudanganywa tu kama mapoyoyo