Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Nasoma sana Biblia nipo kwenye mzunguko wa nne sasa.
Nimesoma Biblia kiasi kwamba I have promised zawadi kubwa, naingojea.
Nimesoma Biblia mpaka sasa mdomoni mate yangu it's glucose likely.
I wish kama mtanielewa ninachojaribu kusema.
Bible ni kitabu kizuri, just read.