Biblia kwa Jicho Jingine

mkuu ukiendelea nitag bosi
 
Nasubir MKUU kwa hamu Sanaa
Bila Shaka utanijenga na kunitoa tongotongo


Na anzia hapa. SHIRK kwa kiswahili Ushirikina kwa jina,ni kitendo cha kujaalia pamoja na Mola mlezi msaidizi. Kwa maana yeyote anayeabidiwa kinyume na Mola mlezi yule mtendaji husemwa amefanya shirki/ushirikina. Humo wanaingia wale wote wenye kutaka msaada kupitia wanyama,miti,masanamu na mfano wake.

Msaada unao zungumziwa hapa ni ule ambao kiumbe katika uhalisia hana uwezo wa kuutoa huo msaada lakini watu wanaelekezea msaada huo kwa viumbe hai.

Ushirikina umegawanyika katika sampuli mbili.

Hapa maelezo yake yatakuja baadae.....
 
Nasikia Rose Muhando anaandika Zaburi yake. Hivyo sishangai nawe kuja na Biblia yako.!
 
Nakusikiliza MKUU.endelea
 
Hapo ndio tatizo lilipo mkuu kiranga, si kila jambo unasikiliza kwa ufahamu Wa kwenye ubongo.

Wewe usiyetumia ufahamu wa kwenye ubongo unatumia nini kufahamu vitu bila kuhusisha ubongo?

Yapo mambo mengi hautapata jawabu la kisayansi lakini moyoni unajua hili ndio jibu.

Jawabu lakisayansi ni lipi? Unajua Einstein's theory of Relativivy imekuwa confirmed experimentally toka 1919 na mpaka leowatu wanaihoji bado kuangalia kamaina mapungufu?

Labda nikuulize swali, unaamini kuwa mtu ana roho?

Sitakikuamini, natakakujua. Roho ni nini na unajuaje ipi si hadithi tu?

Kuna kitu chochote kinachotoka na kuondoka inapotokea mtu amefariki?

The second law of thermodynamics applies, in closed systems, with time, entropy move from low to high. High entropy eventually kill all systems.

Huhitaji roho hapo.

Nini hasa kinasababisha mtu afe?

The entropy of a biological system and its surroundings.

Unaelewakifokinaonesha Mungu hayupo, hakioneshiMungu yupo?

Mungu mwenye uwezowote, ujuzi wote na upendowote, angekuwepo, ulimwengu usingekuwa na kifo.

Kifokinatenganisha wapendanao, Mungu asingependa kuona viumbe wake wapendanao wanatenganishwa na kifo.

Mungu mwenye upendo wote angezuia kifo kisitenganishe wapendanao.

Tunaona kifo kipo. Kinatenganisha wapendanao.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

Bado sijaenda nje ya mada maana natamani ndugu uanze kuyatazama maisha kutoka ndani ya moyo wako. Yatosha sasa kwako kutumia tu ubongo ulio very limited.

Ndani ya moyowangu kuna damu na makutano ya mishipa, niyatazame maisha ndani ya moyowangu kivipi?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Unaweza kuthibitisha roho ipo?

Unaweza kuthibitisha pepo ipo?
 
Unaelewa kwamba kupenda kitu hakufanyi hicho kitu kiwe kweli?

Unajua kupenda kuwa bilionea kama BillGates, wakatiwewe si bilionea, hakukufanyi uwe bilionea?

Unajua kwamba hata mimi napenda sana Mungu awepo, inawezekana kuliko wewe?

Unajua kwamba kama Mungu hayupo, kupenda kwangu Mungu awepo, hakumfanyiawepo?

Unajua nimethibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa "proof by contradiction"ambayo haijapingwa, lakini wewe hujaweza kuthibitisha Mungu yupokwa proof yoyote, na hivyo, hutakiwi kuandika kwamba una uhakika Mungu yupo kama mimi nilivyo na uhakika Mungu hayupo?
 
Haya maswali Mpendwa kamuulize Mungu....... Maana yupo hai hajafa ...

Japo sote tunatumia imani ila imani yako naamini Ni fake kwasababu haina msingi wowote ila kuhoji tu NDO unaweza
Mimisikubali Mungu yupo, unaniambia nimuulize Mungu yupi wakati mimi sikubalikwamba Mungu yupo?

Nikazi yako wewe unayesema Mungu yupo ujibu masali.

Na umeshindwa.

Huwezi kujibu,

Kwa sababu Mungu hayupo.

Halafu una assume nina imani ya Mungu bila hata kuuliza, sina imani ya Mungu, sitaki imani, nataka kujua.

Mungu hayupo, sitaki imani, halafu unanikebehi kwamba nina imani fake?
Unajua kufikiri wewe?
 
Question number 7 ni UTOTO Wa hali ya Juu Brother, Try to be relevant kidgo, uliza swali la kueleweka!
Kwanini ni utoto?

Ni swali linalohoji contradiction iliyo katikadhana ya Mungu muweza yote.

Zaidi, hujajibu hata moja kati ya maswali hayo yote.
 
Hapo kuelewa kama hajauliza swali bali ni swali la uongo,uwezo huo hana.

Hawa wakina Kiranga wana vituko sana aisee.
Hijajibu swali hata moja kati ya 10.

Hujawahi kuthibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha.

Kamwe hutaweza kuthibitisha.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha.
 
Hijajibu swali hata moja kati ya 10.

Hujawahi kuthibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha.

Kamwe hutaweza kuthibitisha.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha.


Poa.
 
Nitaweka source hapo chini baadaye kidogo mkuu.
Uandishi wa kamala unachukua muda sana kuhakikisha accuracy ya kila unachokiandika.
Nitaweka tu sources zangu zote baadaye kidogo, usiwe na wasi wasi.
nijibu hili swali
kuna binadamu aliyewahi kumuona mungu kwa mujibu wa biblia?
 
wala usisumbuke na biblia
naweza kukutajia mambo mia ambayo hayana majibu na yanathibitisha kuwa sio maneno ya muumba
 
Anzisha thread yako ya kumpinga Mungu acha kuchafua thread za watu wewe..jifunze kuwa mstaarabu!!!sometime unakera sana..
Thread ya kuangalia biblia kwa jicho jingine, nikiangalia biblia kwa jicho jingine unanikataza nisiangalie biblia kwa jicho jingine unataka niangalie kwa jicholile lile?

Badilisha thread basi itokekuwa "Bibliakwa jicho jingine" iwe "Bibliakwa jicho lile lile".
 
Mkuuuu hata ww unaamiin hhayupo ila haujui kama hayupo?


Ivyo imani ni bora kuliko kujua.
Mimi siwez kumsaidia Mungu Majukumu Yake ww kamaHuamini uwepo wake huwez kubali Majibu yangu,
 
Yesu kristo mkuu
Maana ata Gabriel pale man city naye Yesu au Nakosea
 
We jamaa ninachofurahia hulali bila kumshukuru Mungu kwa uzima aliokupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…