Biblia kwa Jicho Jingine

Biblia kwa Jicho Jingine

kiranga naomba unithibitishie kwamba upepo upo. nikamatie upepo uniletee leo..
Kuthibitisha kitu kipo lazima ukikamate?

Upepo ni nini?

Unaelewa kwamba naweza kukukamatia mfano wa kitu ambacho hakipo, nikakupa kama uthibitisho wa kitu hicho kuwapo, wakati hakipo?
 
............Hii imenizidi akili,nitakuwa msomaji tu hapa ila mkuu hongera uzi mzuri unachangamsha sana kichwa.
 
shida yako sio mwelewa, sasa the fact unataka watu wakudhibitishie Mungu kama yupo si ni kwa sababu hatumuoni physical au? embu sema shida yako nini, kwann hauamini uwepo wa Mungu. wewe ni mpagani au umeamua tu kubishana na watu. where do u stand?

Wewe hujui tofauti ya kudhibitisha na kuthibitisha halafu unaniita mimi si "mwelewa".

Kiswahiki tu kinakupiga chenga. Halafu unanikashifu mimi ninayeona makosa yako kuwa si muelewa. Hata hiyo muelewa yenyewe hujui kuiandika.

Talk about the great unwashed and the tragedy of the commons.

Wapi nilikwambia nataka nithibitishiwe Mungu yupo kwa sababu simuoni (sic) physical?

Unaelewa unaweza kuangalia movie ya Bruce Lee ukumbini kwako, ukamuona Bruce Lee yupo ukumbini mwako anapiga watu, wakati Bruce Lee hayupo alishafariki miaka mingi sana?

Mungu hayupo kwa sababu yenye kina kirefu kuliko kumuona physically.

Mungu wenu mnayesema yupo, mjuzi wa yote, mwwnye uwezo wote na upendo wote, hayupo, kwa sababu, dhana ya kuwepo kwake ina cintradictiin.

At the conceptual level.

Ni kama mtu akwambie "kuna pembwetatu yenye pembe nne katika Euclidian pllanes".

Hiyo ni contradiction. Kitu hicho hakipo. Kinajioinga chenyewe.

Imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aache kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Hii ni contradiction sawa sawa na ile ya " pembetatu yenye pembe nne".

Sasa nikipinga uwezo wa Mungu jwa sababu ya cintradiction katika dhana ya kuwepo kwake, utasemaje napinga uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani?

Wapi ninwpinga uwepo wa Mungu kwa sababu hainekani?

Unaelewa kwamba si kila kionekanacho kipo?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Cc Kiranga cha Ndenga Sakala Kandumbwa
Nimemjibu chini hapo.

Hata hajui msingi mbovu wa swali lake, sio tu nimemjibu swali, nimemuonesha pia kwamba swali limejengwa katika msingi mbovu.

Kuelewana na watu wengine kazi sana hapa.

Mimi nasema hivi.

Ikiwa ili mji A uwe mji mkuu wa nchi B, inabidi mji A uwe ndani ya nchi B.

Nairobi haipo Tanzania, ipo Kenya.

Hivyo Nairobi haiwezi kuwa mji mkuu wa Tanzania.

Mtu ananiuliza, kwani unaweza kuushika upepo ukatuonesha huu upepo?

Kwani mimi nimesema chochote kuhusu kuishika Nairobi nikakuonesha hii Nairobi?

Objection yangu kuhusu uwepo wa Mungu ni ya kifalsafa, ni ya kuhusiana na contradiction ya "the problem of evil".

Haina uhusiano wowote na Mungu kuonekana au kutoonekana, after all, unaweza kuona kitu ambacho hakipo. Kwa hiyo hata kuonekana kitu si uthibitisho kwamba kipo.

Ukienda jangwani unaweza kuona maji kwa mbali, ukikaribia unakuta hamna maji, ni mwanga tu unaonesha kama maji kwenye joto la jangwani, unatoa mirage. Mauzauza ya maji kuonekana sehemu ambayo hakuna maji.

Lakini huyu anayetaka habari ambazo mimi sijazisema anasumbuliwa na elimu ndogo.

Hajui mirage ni nini.

Hajui kitu kinaweza kuonekana kipo, lakini kisiwepo.

Hajui kitu kinaweza kuwa hakionekani, lakini kikawepo.

Hajui nakataa uwepo wa Mungu kwa sababu kubwa kuliko sababu ya kuonekana na kutoonekana.

Aana utapiamlo wa ubongo, hajui kusoma kwa ufahamu.

Kubishana na watu wenye ukosefu wa elimu ya msingi ni kazi kubwa sana.

Mimi nitapinga uwepo wa Mungu kwa sababu ya contradiction ya "the problem of evil", kitu ambacho naona hajawahi kukisikia, yeye atafikiri na ku conclude bila hata kuuliza, atachukulia kwamba mimi napinga uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani.

Uharisho mtupu.
 
kusema kweli hata sijamaliza point yako, nilivyoona umeanza kwa kuchambua uswahili wangu nikaishia hapo hapo. naweza nikawa sijui uandishi mzuri wa maneno ya kiswahili lakini nikawa mwelewa/ muelewa zaidi yako. point ni kwamba wewe ni unapenda kubishana tu hauna specific goal, i.e sio kwamba ata unataka kujua kama mungu yupo au la umejisikia kubisha tu. It's ur life man. Am done. at least nimelearn leo kumbe ni kuthibitisha / muelewa.

Usikimbie mjadala.

Umelewa kwamba napinga uwepo wa Mungu kwa sababu ya conceptual contradictions in the idea of his being, si kwa sababu haonekani?

Na kwa hivyo msingi mzima wa hoja yako iliyojengwa kwenye uelewa potofu wa kwamba napinga uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani ni utapiamlo wako wa akili tu?

Umeelewa hilo?
 
kulikuwa kuna njia gani ya mm kujua haya yote bila ya wewe kuandika hapa? aisee au tushawahi kuongea mm na wewe ukaniambia maana naona umeandia hajui this and that Ofcoz sijui coz sijawahi kujua hisia zako kuhusu Mungu. alafu fupisha maelezo yawe mafupi maana naona unatoa maelezo mafupi point.
Kulikuwa na haja gani ya wewe ku assume na kuandika utumbo kuhusu ninachofikiri kabla ya kuniuliza?

Nikisema una utapiamlo wa akili kwa sababu ume assume na kuandika kitu ambacho hujui, kama unajua, bila hata kuniuliza muhusika, nitakuwa nimekosea?

Ushaelewa kwamba ulichoandika ni utumbo wenye uharo?
 
tafadhali rejea pale juu utakuta question marks mbili, question mark lengo lake ni kuonyesha sentensi hii inauliza swali na sio assumption ni kutaka clarification. au ndg yangu una utapiamlo wa macho mm bado napambana na utapiamlo wangu wa akili
Swali haliulizwi out of nothing, lina msingi.

Kwa nini usiniulize "kwa nini huamini Mungu yupo?" uniambie habari za ujinga za kushika upepo?

Ina maana kichwani kwako ushajijengea msingi kwamba napinga uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani, which is not the case.

Umeelewa kwamba sipingi uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani, napinga uwepo wa Mungu kwa sababu ya contradictions katika dhana ya kuwepo kwake huyo Mungu?

Hata unaelewa contradiction ni nini?
 
Hapana usinilazimishe maoni yako. am respectful walking out of this conversation, hoja yangu was heading somewhere great but if u didn't think it's stupid hayo maoni yako.
You must mean "respectfully" and not respectful.

Kiswahili tabu, Kiingereza tabu.

Unajua lugha gani wewe?

Kimang'ati?

When you step to me, step correct, else, don't step at all.

Ukianza na habari za ku question uelewa wangu, kifuatacho unajivua nguo mwenyewe.
 
Mkuu sehemu ya Kwanza nimeelezea wa upana sana hio kitu hapo juu.

Ukienda ITV pale Mwenge utakuta kampuni haiitwi ITV ila ni IPP Media.
Kampuni hio kwa nje inajulikana kama ITV kama brand name iliyo maarufu, lakini kiuhalisia ni sehemu tu ya IPP Media.

Yesu ndiye Neno la Mungu na Jina Yesu halina muda mrefu kuanza kutumika, ni kama miaka 2000 tu imepita, lakini Neno alikuwepo kabla ya Jina Yesu kuanza kutumika na amefanya mambo makubwa sana kwa kuwa ndiye mtendaji mkuu wa Serikali ya Mungu.

Lakini kwa kuwa serikali ya Mungu ni ya Kifalme , Yesu au Neno huyo ndiye right hand man wa Ufalme wa Mungu au wa Serikali ya Mungu.

Yesu ni Mungu kwa cheo chake.
Yesu ni Mtendaji mkuu wa Serikali ya Mungu kwa utendaji wake.
Yesu ni mwokozi wa wanadamu huku duniani.
Lakini Yesu pia ndiye kamanda mkuu wa vikosi vyote vyma mbinguni kivita kwa kuwa wanadamu hupata mamlaka ya kuwaamuru malaika kwa kutumia Jina la Yesu, au wamepewa uwezo wa kiutendaji kwa kujificha chini ya Jina la Yesu.
Yesu pia ndiye Hekima kama kitabu cha Mithali kinavyomtaja.

Ila nikwambie tu siri moja ambayo ulikuwa huijui, inawezekana kabisa siku ukaenda Mbinguni usimkute Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu kwa utofauti wao kama tunavyoelewa huku duniani, ila Ukamkuta Yesu tu kwa kuwa hawa ni wamoja ila pia wao ni tofauti.
Note
 
Usikimbie mjadala.

Umelewa kwamba napinga uwepo wa Mungu kwa sababu ya conceptual contradictions in the idea of his being, si kwa sababu haonekani?

Na kwa hivyo msingi mzima wa hoja yako iliyojengwa kwenye uelewa potofu wa kwamba napinga uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani ni utapiamlo wako wa akili tu?

Umeelewa hilo?
Unachokipinga wewe ni suala la Mungu kuumba huu ulimwengu,ndio kitu unachosema ni contradiction.
Basi ni hivyo tu,ila ajabu baada ya hapo unakurupuka kudai hakuna Mungu mara sijui hawezi kuwepo.

Msingi wa hoja yako umejenga kutokana na maelezo ya dini kumuhusu Mungu,kitu ambacho wasiofuata hizo dini hoja zako hazina maana kabisa maana wao hawafuati mtazamo wa Mungu uliyoelezwa kwenye dini ambao wewe ndio unapinga.

Kwahiyo unachokifanya hapa ni kupinga tu baadhi ya maelezo ya dini kuhusu Mungu.
 
Right off the bat umekosea.

Nasema Mungu hayupo, sipingi sisemi Mungu aliyeumba ulimwengu huu hayupo.

Unaelewa hilo?

Unasema msingi wa maelezo yangu ni maelezo ya dini, unaelewa kwamba kuna watu hawaamini dini lakini wanaamiini huyu Mungu ninayempinga?

Umekubali hayo maelezo ya dini ni potofu?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo? Hata nje ya maelezo ya dini?
 
Mungu unayemuueleza wewe ni kwa mtazamo wa dini yani vile ambavyo dini imemuelezea,na unachokipinga ni Mungu huyo(wa mtazamo wa dini) kuumba huu ulimwengu kwamba hilo suala haliwezekani ni contradiction,ndiyo maana huwa unasema Mungu wa Qur'an na Biblia ana contradictions.

Asiyefuata dini hana tabu na hoja zako maana hazimuhusu hafuati maelezo ya dini kumuhusu Mungu ambayo wewe ndio unachezanayo hapa.

Kumbuka unachosema kinacontradiction ni suala la Mungu mwenye upendo kuumba huu ulimwengu,sasa madai ya kuwa hakuna Mungu kabisa huwa unababatiza tu.
 
Katika mawasiliano, nimefundishwa mengi. Nimejua mengi.

Moja ni, unapomsikiliza mtu, unapomsoma mtu, angalia na sikiliza si tu kile kinachosemwa.

Bali hata kile ambacho hakisemwi.

Kuna jambo nimeuliza hujalijibu.

Huko kwenye Mungu asiye wa dini tutafika.

Huku kwa Mungu wa Biblia na Quran unakubali hayupo?
 
Nimeeleza vizuri tu kuwa hoja yako inapinga Mungu(kwa mtazamo wa dini) kuwa ndio kaumba huu ulimwengu ni sawa na kusema unapinga Mungu kuumba huu ulimwdngu,na nikasema madai ya kwamba Mungu huyo kuwa hayupo huwa unayababatizia tu humo humo ila hakuna hoja ya msingi juu ya kutokuwepo kabisa huyo Mungu. Sasa hapo utaniulizaje kama nakubali Mungu wa Qur'an na Biblia hayupo? Kwa hoja ipi? Maana wewe tatizo lako ni huu ulimwengu.

Halafu wanaosema kuna Mungu na ndiye kauumba huu ulimwengu sio watu wa dini tu peke yao.
 
Unaelewa kwamba hoja yangu inapinga zaidi ya Mungu wa mtazamo wa dini?

Unaelewa kwamba hujajibu swali langu?
 
Unaelewa kwamba hoja yangu inapinga zaidi ya Mungu wa mtazamo wa dini?

Unaelewa kwamba hujajibu swali langu?

Huko kwenye Mungu asiye wa dini tutafika.

Huku kwa Mungu wa Biblia na Quran unakubali hayupo?

Halafu tena unaniambia hoja yako inapinga zaidi ya Mungu kwa mtazamo wa dini,sasa kwanini uliniambia huko kwa Mungu asiye na dini tutafika kama ikiwa hoja yako inagusa hadi huko?

Halafu nimekujibu kuwa hadi sasa sijaona hoja ya kupinga kutokuwepo Mungu bali kuna hoja za kupinga Mungu kuumba huu ulimwengu,unasema jambo hilo ni contradiction.
 
Huyu jamaa ni skeptical haelewi anaunda na kutoa arguments zake kiskeptical/kiempirical tu, hajui kuna vitu vipo ingawa empirically huwezi kivithibitisha.
 
Back
Top Bottom