Biblia kwa Jicho Jingine

Biblia kwa Jicho Jingine

Ufahamu wako unapoishia ndipo uwezo wake unaanzia yani kitendo chawewe kusema Mungu hayupo ndio utambulisho kuwa yupo
Hujathibitisha yupo.

Unalazimisha hadithi iwe kweli.

Hujaeleza kwa vipi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Hujathibitisha yupo.

Unalazimisha hadithi iwe kweli.

Hujaeleza kwa vipi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya.

Thibitisha Mungu yupo.
Uthibitisho mmoja wapo ni wewe kutotambua uwepo wake na Mimi kuutambua uwepo wake utofauti wetu kimawazo umefanywa nayeye
 
Uthibitisho mmoja wapo ni wewe kutotambua uwepo wake na Mimi kuutambua uwepo wake utofauti wetu kimawazo umefanywa nayeye
Hapa umejiharishia kitaaluma.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa wote kwa nini ampe mtu mmoja uwezo wa kumjua na amnyime uwezo huo mtu mwingine?
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Halafu unaji contradict mwenyewe.

Kwa sababu unalazimisha Mungu awepo.

Wakati hayupo.

Kurudia rudia "very tricky" hakufanyi uongo wako uwe kweli.

Mungu akiumba jiwe ambalo hawezi kulibeba, atakuwa kashindwa kulibeba hili jiwe.

Hivyo atakuwa hawezi kika kitu.

Na asipoweza kuumba jiwe ambalo hawezi kulibeba, atakuwa hawezi kuumba hilo jiwe.

Either way, kuna kitu atakuwa hawezi kukifanya.

Hivyo Mungu muweza yote hayupo.

Ni kamba tu.

Ndiyo maana huwezi kuthibitusha yupo.
Swali; Hivi mtu akishindwa kulibeba jiwe kubwa haafu hilohilo jiwe kwa nguvu za kiuungu akamua kulibeba, utasemaje..!
A. Kalibeba
B. Kashindwa
C. Muweza wa yote.

Nipe jibu kwanza hapo. Usikwepe ...!
 
Swali; Hivi mtu akishindwa kulibeba jiwe kubwa haafu hilohilo jiwe kwa nguvu za kiuungu akamua kulibeba, utasemaje..!
A. Kalibeba
B. Kashindwa
C. Muweza wa yote.

Nipe jibu kwanza hapo. Usikwepe ...!
Kwa nini unaingiza habari za mtu katika swali la kumhusu Mungu?

Mungu wako ni mtu?
 
Naamini nini? Kwa nini kuamini kuwe muhimu kuliko kujua?

Nimeuliza, akili ni nini?

Hujanijibu.

Kwa nini?
Sasa kama huamini kama UNA AKILI sasa utaaminije uwepo wa MUNGU. Huwezi amini bali unajichosha tu na kusumbua watu.

It means hakuna unachoamini ktk maisha yaani upoupo tu. Wee ni Thomasso mpaka uone ndo unaamini.

Huamini ....
Njaa
Shibe
Kama unaakili
Kama umechoka
Kama una nguvu
Uwepo wa shetani
Uwepo wa mungu

KILA KITU HUAMINI. IT MEANS YOU ARE THE NEW VERSION OF HUMAN LIKE STRUCTURE EVER EXISTED.!

MAY BE WEWE NI ALIEN or UFO GENERATION.
 
Akili ni nini?

Hujajibu swali hili.
 
Kwa sababu dhananya kuwepo kwake inapingana na ulimwengu tunaouona.

Ina contradiction.

Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, ulimwengu usingeweza kuwa na ubaya wowote.

Ulimwengu una ubaya.

Hivyo, Mungu hayupo.
Dhana ya kuwepo kwake ni ipi ndio uwezo wote,ujuzi na upendo wote? Hiyo ndio dhana.
 
Sasa ntakuambia maana ya akili wakati HUAMINI. Maana yake inaendana na dhana ya KUAMINI. Wee umesema unataka kujua hutaki kuamini. Hata nikikupa maana yake huwezi amini coz you dont have sense organ of faith and trust.

Huna uwezo wa KUAMINI.
Hata wewe huna imani kwamba naweza kuamini.

Hatuchekani.

Hujajibu akili ni nini.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Ni hadithi za uongo tu.
 
Hata wewe huna imani kwamba naweza kuamini.

Hatuchekani.

Hujajibu akili ni nini.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Ni hadithi za uongo tu.
Huna sense organ ya KUAMINI. So, hata ukiambiwa Mungu yupo huwezi KUAMINI. Na hata ukiambiwa hayupo huwezi KUAMINI coz huna hio sense.

Hivi, wewe ni binadam? Au Mungu kaleta a new version of CREATURE.!?

NAANZA KUOGOPA, USIKUTE NACHATI NA MZIMU.!
 
Mkuu unapata tabu sana na mchungaji kiranga.
Yeye hataki kuamini...anatafta kujua.
Wewe unalazimisha aamini .
Uwepo wa Mungu ni imani..... Bila hiyo ni bure.
Mungu huthibitika uwepo wake ukiwa karibu nae.
 
Jina la Yesu linanguvu kwa kila kabila au lugha utakayoitumia kuita jina la Yesu hutenda kazi
Swali langu halijaeleweka sjahoji kuhusu uwezo wa jina la Yesu ila nachouliza mfano Yesu kwa kiingereza Jesus ila ukienda mexico Jesus lina maana nyingine na hata Yesu ni jina la mambo tofauti ndio sasa najiuliza kinachofanya kazi ni lile jina as jina au ni mental conscious mtu anapolitamka???

Kumbuka hata leo naweza anzisha lugha yangu nikasema zittojunior ndio translation ya jina la Yesu na je kesho watu wakikemea kwa JINA LA ZITTOJUNIOR je litafanya kazi? Na kama ndio ni sababu ya jina ambalo sio kabisa la Yesu la original au litafanya kazi sababu mental conscious yao ina kuwa inamfikiria Yesu??

I hope nimeeleweka
 
Kwa nini swali hili ni muhimu wakati nishasema sitaki kuamini nataka kujua?
Swali ni muhimu kwa sababu ukijibu hilo ndio tutaweza kuelewa unachokiimanisha unaposema hautaki kuamini bali unataka kujua.

Unaweza kuamini kitu ambacho haukijui?
 
Back
Top Bottom