Biblia kwa Jicho Jingine

Biblia kwa Jicho Jingine

Kama ni hivyo kwanini ukiambiwa uthibitishe hakuna Mungu huwa unasema haiwezekani kuthibitisha kitu kisichokuwepo,inamaana tutawezaje kupata ukweli maana ukweli unajulikana kwa uthibitisho?

Halafu tafsiri yako neno kuamini ni kukubali jambo bila uthibitisho,kwahiyo kitendo cha mtu kuamini kitu fulani maana yake hana uthibitisho wa hilo jambo,sasa mtu anayeamini Mungu kumwambia hakuna Mungu hayupo na ndiyo maana hawawezi kuthibitisha,hauoni inakuwa sio sahahihi? kwa sababu ni kweli hana uthibitisho ila pia haina maana kuwa kuamini jambo maana yake hilo jambo si la kweli kwa sababu linaweza kuwa kweli au sio kweli.
Nimethibitisha Mungu hayupo kwa "proof by contradiction".

Tongotongo zako za ubongo zimekuruhusu kuielewa?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa aina yoyote iliyo logically consistent?
 
Nimeuliza maswali mawili rahisi sana, ambayo mpaka sasa hayajajibiwa, hayawezi kujibiwa na naona hayatajibiwa.

Kwa sababu, habari ya kuwepo Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote ni uongo.

Maswali hayo ni.

1. Je unaweza kuthibitisha Mungu huyo yupo? Kama unaweza, thibitisha. Mapaka sasa hakuna aliyethibitisha Mungu huyo yupo.

2. Imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wotena upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakatialikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kufanyika wala kufikirika na hayapo kabisa?

Sijajibiwa swali hili.

Hakuna anayeweza kulijibu.

Kwa sababu limehoji habari ya uongo.

Habari kwamba Munguhuyo yupo.

Kama unasema Mungu yupo, nijibu maswali haya mawili.
Mungu huthibitika katika imani...hiyo imani wewe hauna hata kidogo kwa hiyo ni ngumu kukufanya wewe kukiri Mungu yupo

Kwani ni njia gani ambayo wewe ungeipenda mtu akuelekeze ili kwako iwe rahisi kuamini Mungu yupo?

Swali lako la pili naona kama upo unamfanyia Muumba wako Judgement....Ungalikua unamwamini Mungu,ungali amini kwamba yeye hakosei hata kidogo
 
Huwa najiulizaga maswali ambapo sipati majibu hasa.
Mfano, hivi ni kwa nini waafrika hawakumjua Yesu kwa karibu miaka 2000 baada ya kutoweka duniani?
Ukristo ulianza kuingia Afrika kwa wingi katika karne ya 19 na kwa kipindi chote hicho waafrika walikuwa wakiabudu miungu yao. ni kwa nini Mungu aliruhusu hali hii iendelee kwa muda wote huo?
IKiwa Mungu anajua tangu mwanadamu anazaliwa kuwa atakwenda mbinguni au motoni ni nini nafasi ya mwanadamu aliyeandikiwa kwenda motoni kujinusuru na hii adhabu?
Ni kwa nini Mungu anaruhusu wanadamu kutofautiana kuhusu uwepo waake na amri zake na taratibu za kufika kwake!
baada ya kuona sipati majibu katika haya nimeamua kujikalia tu nikitambua tu kuwa kuna Mungu lakini si kwa maelezo yaliyopo kuhusu uwepo wake. maana yangu ni kwamba huenda wanadamu wanamtengeza Mungu ilhali wao ndio wametengenezwa na Mungu.
kwa nini?
kwa sababu wanadabu humpatia Mungu sifa za kibinadamu (rejea maandiko mabalimbali) mfano kukaa, kusema, kutembea, kuonaa na kusikia, hasira mavazi nk. Tofauti kati yetu kuhusu Mungu ndo kumaanisha kwamba tunajaribu kumtengeneza wakati yeye ndo katutengeneza!
Kutokana na hali hii dunia ina undergo evulution of thought about God na miaka mingi ijayo kutakuwa na hali tofauti sana duniani laabda Mungu afanye mabadiliko
 
Mungu huthibitika katika imani...hiyo imani wewe hauna hata kidogo kwa hiyo ni ngumu kukufanya wewe kukiri Mungu yupo

Kwani ni njia gani ambayo wewe ungeipenda mtu akuelekeze ili kwako iwe rahisi kuamini Mungu yupo?

Swali lako la pili naona kama upo unamfanyia Muumba wako Judgement....Ungalikua unamwamini Mungu,ungali amini kwamba yeye hakosei hata kidogo
Imani nikinyume cha uthibitisho.

Unaelewa hilo?

Ukiwa na imani maana yake huna uthibitisho, ukiwa nauthibitisho ushavuka imani na huwezikuamini kwa sababu una uthibitisho.

Unaelewa hilo?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa njiailiyo logically consistent?
 
Nimethibitisha Mungu hayupo kwa "proof by contradiction".

Tongotongo zako za ubongo zimekuruhusu kuielewa?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa aina yoyote iliyo logically consistent?
Haujajibu nilichouliza kwamba kwanini huwa unasema haiwezekani kuthibitisha kisichokuwepo?

Halafu hauwezi kusema umethibitisha hakuna Mungu kwa contradiction kwa sababu hata kama kuna contradictions hilo hitimisho la kuwa hakuna Mungu umelipata vp?
 
Kwa sababu uthibitisho unahusisha kilichopo.

Ndiyo maanauthibitisho unaenda na ushahidi. Sasa utatoa vipiushahidi wa kitu ambacho hakipo?

Kama mwizi hajaingia nyumbani kwako, utathibitisha kwa kuonesha fingerprint za mwizi ambaye hayupo?

Utatoa video inayoonesha mwizi ambaye hayupo?

Ukisema hii videoinaonesha mwizi hayupo, ukiulizwa "kama kapita chini ya camera je? Utajibuje?

Nature ya uthibitishoni kwa vitu vilivyopo, visivyopo vinaweza kuthibitishwa havipo kidhana, kihesabu, kwa contradiction, lakini huwezi kupata ushahidi wa kutosha kwamba nyumba yako haina bangi.

Hata kama haina.

Kwa sababu kukosa ushahidi kwamba bangi haipo hakumaanishi bangi haipo, inawezekana imefichwa vizuri tu.

Ndiyo maana namsema, kisichopo, nje ya dhana, hakithibitishiki kwamba hakipo.

Ndiyo maana Polisi wakija kwakokusema una bangi, hawakwambii uthibitishe huna bangi.

Wao ndio wanafanya msako mpaka waipate bangi.

Ni jukumu la anayesemakitu kipo athibitishe kipo, kisichopo hakithibitishiki vyovyote nje ya dhana.

Nje ya dhana, kisichopo hakithibitishiki kipo, hakithibitishiki hakipo.

Ndiyo maana wewe huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
nimekuwa nikiisoma Biblia kitafit na nilikuwa nimefanikiwa kuwa na sehem ya majibu niliyoyaona hapa.
aisee nashukuru sana bro umepanua uelewa wangu. nasubir ya 3
 
Kwa sababu uthibitisho unahusisha kilichopo.

Ndiyo maanauthibitisho unaenda na ushahidi. Sasa utatoa vipiushahidi wa kitu ambacho hakipo?

Kama mwizi hajaingia nyumbani kwako, utathibitisha kwa kuonesha fingerprint za mwizi ambaye hayupo?

Utatoa video inayoonesha mwizi ambaye hayupo?

Ukisema hii videoinaonesha mwizi hayupo, ukiulizwa "kama kapita chini ya camera je? Utajibuje?

Nature ya uthibitishoni kwa vitu vilivyopo, visivyopo vinaweza kuthibitishwa havipo kidhana, kihesabu, kwa contradiction, lakini huwezi kupata ushahidi wa kutosha kwamba nyumba yako haina bangi.

Hata kama haina.

Kwa sababu kukosa ushahidi kwamba bangi haipo hakumaanishi bangi haipo, inawezekana imefichwa vizuri tu.

Ndiyo maana namsema, kisichopo, nje ya dhana, hakithibitishiki kwamba hakipo.

Ndiyo maana Polisi wakija kwakokusema una bangi, hawakwambii uthibitishe huna bangi.

Wao ndio wanafanya msako mpaka waipate bangi.

Ni jukumu la anayesemakitu kipo athibitishe kipo, kisichopo hakithibitishiki vyovyote nje ya dhana.

Nje ya dhana, kisichopo hakithibitishiki kipo, hakithibitishiki hakipo.

Ndiyo maana wewe huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Nimekuelewa vizuri tu kwamba hauwezi kuthibitisha kitu ambacho hakipo bali unatumia ushahidi wa dhana tu ambao hautoshi kusema hicho kitu hasa hakipo,kama maana hiyo kusema kwako hakuna Mungu hakufanyi kuwa kweli hakuna Mungu kwa sababu hakuna ushahidi wa kutosha wa kuweza kujua kwa uhakika kuwa hakuna Mungu.

Mpaka hapo tunaenda sawa?
 
Mimi nina wazo. Tumuache mtoa mada amalize kisha tuanze sasa kujadili na kuhoji. Sasa hapa tukianza kutoa mada juu ya mada nadhani tunaharibu ule mtiririko na pengine tunaweza kukosa ilimu mahususi juu ya mada husika. Mfano, hoja ya kuthibitisha uwepo wa Mungu, Ujio wa Dini katika Afrika na kadhalika visubiri mada ifike mwisho. Au wenzangu great thinkers huko vyuoni waliwafundisha kupandisha mada juu ya mada kabla mtoa mada hajamaliza? Yaani mlifundishwa kudandia treni kwa mbele? Nadhani hata kwa akili na nidhamu ya kawaida tu mtu anapotoa hoja/mada/maoni yake anaachwa amalize ndipo ajibiwe au ahojiwe. Ukimkatiza mtu huwezi jua mwishoni hoja/mada/maoni yake yangeishia kwa mtazamo au mlengo gani. Najua humu kuna wenzangu na miye hata kama hatukusoma Filosofia au yafananayo na hilo tunajua mtu anajibiwa baada ya kuuliza. Pia nadhani katika kanuni za majadiliano (Principles of Discussion/Argument/Debate) mtu anatoa hoja kwanza. Sasa hapa tukileta hoja juu ya hoja, mtoa mada anaanza kujibu hoja zetu badala ya kuandaa mwendelezo wa somo. Matokeo yake tunampotezea muda na hivyo kutucheleweshea mwendelezo wa hii ilimu murua. Nadhani tuache kuwashwawashwa na kudhani tunajua sana kufikiri na kuhoji. Tuache amalize halafu tuanze kushusha madude. Au mnahisi akimaliza atakimbia? Yangu ni hayo tu kwa sasa.
 
Nimekuelewa vizuri tu kwamba hauwezi kuthibitisha kitu ambacho hakipo bali unatumia ushahidi wa dhana tu ambao hautoshi kusema hicho kitu hasa hakipo,kama maana hiyo kusema kwako hakuna Mungu hakufanyi kuwa kweli hakuna Mungu kwa sababu hakuna ushahidi wa kutosha wa kuweza kujua kwa uhakika kuwa hakuna Mungu.

Mpaka hapo tunaenda sawa?

Unaelewa hata nikikubali kwamba siwezi kuthibitisha Mungu hayupo, kwa njia yoyote ile, ya dhana au ya ushahidi, hilo halithibitishi Mungu yupo na halipingani na ukweli kwamba hayupo, kama kweli hayupo?

Unaelewa kwamba kitu pekee kinachoweza kuwa definitively conclusive ni kuthibitisha Mungu yupo?

Unaweza kuthibitisha juu ya Mlima Kilimanjaro hakuna ng'ombe wa dhahabu asiyeonekana kwa njia yoyote kibinadamu?

Unaelewa kwamba

1. Mimi kushindwa kuthibitisha Mungu hayupo = inconclusive, Mungu anaweza kuwa hayupo, na nikashindwa kuthibitisha hayupo, in fact naweza kushindwa kuthibitisha hayupo kwa sababu hayupo. Kisichopo hakithibitishiki vyovyote nje ya dhana.

2. Wewe kushindwa kuthibitisha Mungu yupo = inconclusive, Mungu anaweza kuwepo halafu ukashindwa kuthibitisha Mungu yupo.

3. Wewe kuweza kuthibitisha Mungu yupo = conclusive, umeonesha Mungu yupo.

Hapa, suala pekee lenye kuweza kuwa conclusive ni wewe kuthibitisha Mungu yupo, mengine yote ni inconclusive.

Mengine yote mtu anaweza kushindwa halafu kuweza kushindwa huko kusiwe na maana yoyote, kukatubakisha hatuna conclusion.

Sasa basi, tuangalie swali linaloweza kutupa jibu conclusive.

Wewe kuthibitisha Mungu yupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Nilipoona umechemka mwanzoni nimeshindwa kuendelea kusoma Mungu hajawahi kugawanyika ktk nafsi 3 zilizosawa hayo mafundisho ni potofu
 
Unaelewa hata nikikubali kwamba siwezi kuthibitisha Mungu hayupo, kwa njia yoyote ile, ya dhana au ya ushahidi, hilo halithibitishi Mungu yupo na halipingani na ukweli kwamba hayupo, kama kweli hayupo?

Unaweza kuthibitisha juu ya Mlima Kilimanjaro hakuna ng'ombe wa dhahabu asiyeonekana kwa njia yoyote kibinadamu?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Ndio maana nikauliza kama tunaenda sawa ili tuendelee mbele zaidi,sasa kama kuna ambapo sijakuelewa ungeniambia.

Mimi nimekuelewa kuwa ushahidi wako wa kwamba hakuna Mungu ni wa dhana tu kwa maana hautoshi kufanya tujiridhishe kwa hakika kuwa hakuna Mungu?

Hapo tupo sawa nimekuelewa vizuri?
 
Ndio maana nikauliza kama tunaenda sawa ili tuendelee mbele zaidi,sasa kama kuna ambapo sijakuelewa ungeniambia.

Mimi nimekuelewa kuwa ushahidi wako wa kwamba hakuna Mungu ni wa dhana tu kwa maana hautoshi kufanya tujiridhishe kwa hakika kuwa hakuna Mungu?

Hapo tupo sawa nimekuelewa vizuri?
Unaelewa kwamba

1. Mimi kushindwa kuthibitisha Mungu hayupo = inconclusive, Mungu anaweza kuwa hayupo, na nikashindwa kuthibitisha hayupo, in fact naweza kushindwa kuthibitisha hayupo kwa sababu hayupo. Kisichopo hakithibitishiki vyovyote nje ya dhana.

Kwa sababu hakipo.

2. Wewe kushindwa kuthibitisha Mungu yupo = inconclusive, Mungu anaweza kuwepo halafu ukashindwa kuthibitisha Mungu yupo.

3. Wewe kuweza kuthibitisha Mungu yupo = conclusive, umeonesha Mungu yupo.

Hapa, suala pekee lenye kuweza kuwa conclusive ni wewe kuthibitisha Mungu yupo, mengine yote ni inconclusive.

Mengine yote mtu anaweza kushindwa halafu kushindwa huko kusiwe na maana yoyote, kukatubakisha hatuna conclusion.

Sasa basi, tuangalie swali linaloweza kutupa jibu conclusive.

Wewe kuthibitisha Mungu yupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
kusudi la Mungu alipomuumba mwanadamu lilikuwa aishi kwenye bustan ya edeni, akampa choices mwanadamu akachoose kuside na malaika mwasi baada ya malaika mwasi kumlaghai kuwa mungu anamnyima uhuru zaidi, mungu akamruhusu huyu malaika mwasi aprove his point ndio kaacha muda upite ili uyu malaika mwasi aonekane je yupo sawa au lah, muda umepita mrefu wengi wetu tutakubaliana kuwa huyu malaika mwasi(shetani) ni mwongo hivyo mungu atathibitika yupo sawa. Bhas baada ya muda Mungu atamwondoa huyu malaika mwovu na mfumo wake na arudishe bustani ya eden.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Unaelewa kwamba

1. Mimi kushindwa kuthibitisha Mungu hayupo = inconclusive, Mungu anaweza kuwa hayupo, na nikashindwa kuthibitisha hayupo, in fact naweza kushindwa kuthibitisha hayupo kwa sababu hayupo. Kisichopo hakithibitishiki vyovyote nje ya dhana.

Kwa sababu hakipo.

2. Wewe kushindwa kuthibitisha Mungu yupo = inconclusive, Mungu anaweza kuwepo halafu ukashindwa kuthibitisha Mungu yupo.

3. Wewe kuweza kuthibitisha Mungu yupo = conclusive, umeonesha Mungu yupo.

Hapa, suala pekee lenye kuweza kuwa conclusive ni wewe kuthibitisha Mungu yupo, mengine yote ni inconclusive.

Mengine yote mtu anaweza kushindwa halafu kushindwa huko kusiwe na maana yoyote, kukatubakisha hatuna conclusion.

Sasa basi, tuangalie swali linaloweza kutupa jibu conclusive.

Wewe kuthibitisha Mungu yupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Halafu usichukulie kana kwamba mimi nakwambia umeshindwa kuthibitisha bali ni maelezo yako mwenyewe kwamba haiwezekani kuthibitisha kisichokuwepo,lakini pia ni wewe mwenyewe ndio ulisema kwamba kuamini ni kukubali jambo bila uthibitisho hivyo ni wazi wewe unajua zaidi kuwa wanasema Mungu yupo hawana uthibitisho kwa sababu wamekubali hilo jambo bila uthibitisho.

Na kwa maana hiyo wao sio wenye wajibu wa kuthibitisha kwa sababu wao wamekubali huyo Mungu bila uthibitisho,laiti wangekuwa na uthibitisho wasingeitwa wanaoamini Mungu. Hivyo inawezekana wakawa sahihi hicho wanachoamini(walichokubali bila uthibitisho) au wasiwe sahihi maadamu wameamua wenyewe kuamini hivyo kwa sababu zao zilizowafanya waamini hivyo na si vingine tofauti na hivyo.

Hivyo kuwaambia hao watu hawawezi kuthibitisha haiwi jambo la kuwashangaza kwao kwa sababu wamekubali hilo jambo bila uthibitishho,wanaweza wakawa sio sahihi ila pia wanaweza wakawa sahihi.
 
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.
 
Hivi mleta madakanyamazishwa na kiranga ama? Tunaomba mwendelezo tafadhali. Sie wa imani tunakuelewa. Wale wapagani wasikusumbue
Inakera sana! Mtu kama una yako ya kusema si uanzishe Uzi wako? Sio kila siku unadandia nyuzi za watu na kuziharibu kwa maneno meeengi! Aaargh this is insanity
 
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.
Kwa mujibu wa maelezo yako haiwezekani ukaamini kitu ambacho una uthibitisho juu ya hicho kitu,wanaoamini Mungu hawana uthibitisho sasa ukisema hawezi kuthibitisha kwa sababu Mungu hayupo unakuwa unajichanganya mwenyewe.
 
Back
Top Bottom