Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nimethibitisha Mungu hayupo kwa "proof by contradiction".Kama ni hivyo kwanini ukiambiwa uthibitishe hakuna Mungu huwa unasema haiwezekani kuthibitisha kitu kisichokuwepo,inamaana tutawezaje kupata ukweli maana ukweli unajulikana kwa uthibitisho?
Halafu tafsiri yako neno kuamini ni kukubali jambo bila uthibitisho,kwahiyo kitendo cha mtu kuamini kitu fulani maana yake hana uthibitisho wa hilo jambo,sasa mtu anayeamini Mungu kumwambia hakuna Mungu hayupo na ndiyo maana hawawezi kuthibitisha,hauoni inakuwa sio sahahihi? kwa sababu ni kweli hana uthibitisho ila pia haina maana kuwa kuamini jambo maana yake hilo jambo si la kweli kwa sababu linaweza kuwa kweli au sio kweli.
Tongotongo zako za ubongo zimekuruhusu kuielewa?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa aina yoyote iliyo logically consistent?