Biblia kwa Jicho Jingine

Biblia kwa Jicho Jingine

Mkuu hiyo ufunuo 12 inasema shetani na malaika zake walitupwa duniani, kwahiyo dunia ni gereza la shetani na mwanadamu aliletwa duniani huku yakiwa ni makazi ya shetani tayari? Nani mwenyeji zaidi hapa duniani shetani au mwanadamu?
 
Bilionea Asigwa vipi mkuu? Hii mada huiendelezi tena?

Mada nzuri kwakweli
Huyu jamaa hawezi kuiendeleza hii maada coz ameicopy toka sehemu na alipoishia ndio hata kule ilipoishia nishaona sehemu kipindi nasoma sana so naona wengi mnaomba mwendelezo ambao yeye hawezi kuendeleza coz alicopy the whole story so hapo ndio mwisho wa kucopy coz story haikuendelea zaidi cha msingi na nyinyi endeleeni kutafuta other sources may be tutapata story nyingine..ni hayo tu wakuu msichoke kutafuta maarifa na kweli tuliyoagizwa kuitafuta,kuna vitabu vingi sana vya kusoma kufill gap iliyoachwa hapo kati..
 
Mkuu hiyo ufunuo 12 inasema shetani na malaika zake walitupwa duniani, kwahiyo dunia ni gereza la shetani na mwanadamu aliletwa duniani huku yakiwa ni makazi ya shetani tayari? Nani mwenyeji zaidi hapa duniani shetani au mwanadamu?
Kuna mtu alishaandika hapa kuwa hii dunia ni kama jela yani tupo kifungoni that's why wazee wa flat earth's wanasema kuna firnament ambayo no one can get outside world..naomba tujitaidi kusoma jamani
 
So wanadamu na shetani wanatumikia adhabu moja baada ya kuasi?
 
Unakubali kwamba kuna kanuni za asilizinazoendesha ulimwengu?

Kwamba kuna gravity inafanya dunia ikuvute chini usipae juu angani kamahujapazwa na kitu kwa mfano?

Kwamba majiukiyamwaga juu mlimanikwamfano, kamahujayawekeakitu cha kuyapandisha, huwa hayapandi juu, yanashukachini?
Ni ujinga wa hali ya juu sana kutaka maji yapande mlima wakati mlima una side zilizoinamia chini!!! Pia ni ujinga uozo kutaka tunda linalokwachuka kwenye mti lipae angani badala ya kudondoka chini!!
NI UJINGA KAMA UJINGA MWINGINE TU!!
 
Hata hunielewi.

Sitaki imani. Nataka kujua.

Nimebaki na kutaka kujua.

Ila nyie ndio mnaniletea uongo hapa JF kwamba Mungu yupo.

Wakati hayupo.

Ndiyo maana hamuwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Mimi sipendi uongo.

Sasa unanilazimisha nikubali uongo ambao hamuwezi kuuthibitisha?
Binafsi uongo wa Mungu yupo naupenda sana!! Hapo wewe povu la nini?
 
Huyu jamaa hawezi kuiendeleza hii maada coz ameicopy toka sehemu na alipoishia ndio hata kule ilipoishia nishaona sehemu kipindi nasoma sana so naona wengi mnaomba mwendelezo ambao yeye hawezi kuendeleza coz alicopy the whole story so hapo ndio mwisho wa kucopy coz story haikuendelea zaidi cha msingi na nyinyi endeleeni kutafuta other sources may be tutapata story nyingine..ni hayo tu wakuu msichoke kutafuta maarifa na kweli tuliyoagizwa kuitafuta,kuna vitabu vingi sana vya kusoma kufill gap iliyoachwa hapo kati..
Naomba nifahamu hiyo source mkuu.
 
Back
Top Bottom