Uyu hapa
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 394
- 476
Nakazia
Daah
Uzi huu ni mzuri sema umekosa mwendelezo
Bilionea Asigwa
kokote ulipo
kumbuka Uzi wako huu ambao hujatupa mwendelezo
Uje utupe mwendelezo
Kuna mengi ya kujifunza,kupitia Uzi huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia
Huyu jamaa hawezi kuiendeleza hii maada coz ameicopy toka sehemu na alipoishia ndio hata kule ilipoishia nishaona sehemu kipindi nasoma sana so naona wengi mnaomba mwendelezo ambao yeye hawezi kuendeleza coz alicopy the whole story so hapo ndio mwisho wa kucopy coz story haikuendelea zaidi cha msingi na nyinyi endeleeni kutafuta other sources may be tutapata story nyingine..ni hayo tu wakuu msichoke kutafuta maarifa na kweli tuliyoagizwa kuitafuta,kuna vitabu vingi sana vya kusoma kufill gap iliyoachwa hapo kati..
Kuna mtu alishaandika hapa kuwa hii dunia ni kama jela yani tupo kifungoni that's why wazee wa flat earth's wanasema kuna firnament ambayo no one can get outside world..naomba tujitaidi kusoma jamaniMkuu hiyo ufunuo 12 inasema shetani na malaika zake walitupwa duniani, kwahiyo dunia ni gereza la shetani na mwanadamu aliletwa duniani huku yakiwa ni makazi ya shetani tayari? Nani mwenyeji zaidi hapa duniani shetani au mwanadamu?
So wanadamu na shetani wanatumikia adhabu moja baada ya kuasi?Kuna mtu alishaandika hapa kuwa hii dunia ni kama jela yani tupo kifungoni that's why wazee wa flat earth's wanasema kuna firnament ambayo no one can get outside world..naomba tujitaidi kusoma jamani
NdioSo wanadamu na shetani wanatumikia adhabu moja baada ya kuasi?
Ni ujinga wa hali ya juu sana kutaka maji yapande mlima wakati mlima una side zilizoinamia chini!!! Pia ni ujinga uozo kutaka tunda linalokwachuka kwenye mti lipae angani badala ya kudondoka chini!!Unakubali kwamba kuna kanuni za asilizinazoendesha ulimwengu?
Kwamba kuna gravity inafanya dunia ikuvute chini usipae juu angani kamahujapazwa na kitu kwa mfano?
Kwamba majiukiyamwaga juu mlimanikwamfano, kamahujayawekeakitu cha kuyapandisha, huwa hayapandi juu, yanashukachini?
Binafsi uongo wa Mungu yupo naupenda sana!! Hapo wewe povu la nini?Hata hunielewi.
Sitaki imani. Nataka kujua.
Nimebaki na kutaka kujua.
Ila nyie ndio mnaniletea uongo hapa JF kwamba Mungu yupo.
Wakati hayupo.
Ndiyo maana hamuwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Mimi sipendi uongo.
Sasa unanilazimisha nikubali uongo ambao hamuwezi kuuthibitisha?
Ni ujinga wa hali ya juu sana kutaka maji yapande mlima wakati mlima una side zilizoinamia chini!!! Pia ni ujinga uozo kutaka tunda linalokwachuka kwenye mti lipae angani badala ya kudondoka chini!!
NI UJINGA KAMA UJINGA MWINGINE TU!!
Naomba nifahamu hiyo source mkuu.Huyu jamaa hawezi kuiendeleza hii maada coz ameicopy toka sehemu na alipoishia ndio hata kule ilipoishia nishaona sehemu kipindi nasoma sana so naona wengi mnaomba mwendelezo ambao yeye hawezi kuendeleza coz alicopy the whole story so hapo ndio mwisho wa kucopy coz story haikuendelea zaidi cha msingi na nyinyi endeleeni kutafuta other sources may be tutapata story nyingine..ni hayo tu wakuu msichoke kutafuta maarifa na kweli tuliyoagizwa kuitafuta,kuna vitabu vingi sana vya kusoma kufill gap iliyoachwa hapo kati..
Naomba nifahamu hiyo source mkuu.
Ngoja nikachambue mafile najua ntaipata tu then ntakupa linkNaomba nifahamu hiyo source mkuu.