Biblia mpya feki zilizo chakachukuliwa kwa kubadilishwa baadhi ya mistari

Kile ambacho sikujua wakati huo ni kwamba shirika hilo liliitwa Al Fath Al Kabir, maana yake ni ushindi wa kimya.

.
 
Ngoja waje
YESU KRISTO alitoa ahadi alisema lazima mimi niondoke ili msaidizi wangu aje yaan ROHO Mtakatifu
Yohana 14:6, yohana 14:26, yohana 15:26

Siku ya pentecoste ROHO Mtakatifu alishuka toka siku hiyo dunia yote ikawa chini ya mfumo KRISTO mpaka leo hii

Lakini YESU KRISTO katika kitabu cha ufunuo alisema atakuja mpinga KRISTO

Kwahiyo ushuhuda huu ni WA kweli na roho ya mpinga KRISTO inajikusanya

Lakini kwa jina la YESU KRISTO tutamshinda shetani, tutashinda fahari zake na tutashinda mbinu zake zote

Ainuliwe BWANA wetu YESU KRISTO Mfalme wa wafalme
 
Amen
 
Biblia ambazo tunatumia kwa sasa nazani makanisa yote ni biblia za chama cha biblia

Nashauli wakristo waache kujinunulia biblia hovyo hovyo mtaan

Mpinga KRISTO yupo kazini
 
watu waovu wenye nia ovu mipango ovu upotoshaji hasi watafanya kila uovu kuaminisha imani tofauti lakini hawataweza,
 
Ili gazeti lako inabidi ulipie JF
 

Shetani hawezi kufanikiwa kwenye hili
 
Biblia zenye tafsiri tofauti na mwanzo huku tumeishawaambia wakristo wasizisome zina upotoshaji. Iwe ya kiswahili au ya kiingereza hatuzisomi huku, maana zingine zimewekewa istilahi za ajabu
 
Natamani huyu binti angekuja Afrika, na hasa Tanzania. Hakika ningekuwa tayari kuigharamia familia yake yote kama sadaka yangu ya upendo kwao wanaodhulumiwa kwa sababu ya kumpokea Kristo. Tutampataje huyu anayeteseka kwa sababu ya neno la Bwana?
 
Wakristo waambiwe si kila biblia ni ya kusoma, waangalie sana edition, revised na chama cha biblia cha tanzania, kenya na uganda waangalie sana matoleo ya biblia yanayochapishwa isije ikawa ni kulisha wakristo matango pori
 
Miujiza fake ndio ikoje mkuu?
 
Wakristo waambiwe si kila biblia ni ya kusoma, waangalie sana edition, revised na chama cha biblia cha tanzania, kenya na uganda waangalie sana matoleo ya biblia yanayochapishwa isije ikawa ni kulisha wakristo matango pori
Mtu kabla hajanunua biblia Kuna MISTARI unatakiwa uiangalie

Mfano Yohana 3:16

Huu ndio mstari wa msingi wa Ukristo
 
Waislam hawajaanza leo jitihada za kuiharibu biblia kwa dhamira ya kutaka kufanya udanganyifu ili biblia ionekane kuwa ilimtabiria Mohamed! Karne ya 14 inaaminika kuwa waislam walitengeneza injili fake ya Barnaba yenye utabiri wa Mohamed, lakini iligundulika wazi kuwa andiko hilo wala siyo la karne ya 1, bali karne ya 14.

Kama wayahudi ambao hawakumkubali Kristo, hata baada ya kumtundika Yesu Kristo msalabani, walishindwa kuua ukristo, kamwe hakuna atakayefanikiwa kuuangamiza. Badala ya kuuangamiza ukristo, ataangamia yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…