UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,243
- 9,657
Kwanini wanaita miujiza hivi Mfano mtu anatoa ushuhuda wa kupata kazi, kupata ujauzito, kupona maradhi n.kKama.ile ya Mwamposa,au ile ya mazinge na kijana wake firdaus
Wanakupanga kabisa nini cha kufanya
Mambo kama hayo kwanini iwe ni miujiza?