matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua.
Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la afya ya akili duniani.
Katika utafiti wangu nimegundua Usomaji wa Biblia hasa ukijikita kwenye ahadi za Mungu utakufanya uwe na akili mwanana na iliyonawiri kwa afya njema.
Kumbuka ili shetani amdanganye adam na eva alianza kwa kuwaaribu akili kupitia ideas zake. Hata leo anatumia silaha zake hizohizo kongwe kukuhujumu.
2 Wakorintho 11:3
Lakini nachelea; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu, mkauacha unyofu na usafi kwa Kristo.
Ushauri wangu kwako.
Anza dozi ya kurudisha afya yako ya akili kupitia maandiko. Hakikisha kila siku unaahadi tatu za Mungu. Moja soma asubuhi, nyingine mchana na nyingine usiku.
Fanya hivi utanishukuru.
Ni hayo tu.