Biblia ndio kitabu pekee chenye uwezo wa kukupa afya ya akili?

Tunafurahij kujua umekuwa mmoja wa walio na akili ya kweli sasa, kuhusu afya ya akili ni kweli kabisaa, si tu kwamba ukishika ahadi za Mungu ila yeyote anafanya kinyume na mapenzi ya Mungu lazima awe na tatizo la afya ya akili, maana hofu, ambao ndio mzizi wa stress, depression chanzo ni dhambi...Maana neno la Mungu lina Sema hakuna Amani kwa wetendao maovu.. Haya ni baadhi ya mifani Mfano inayotupa shida ya afya ya akili:
1. Ukimuwazia vibaya mwezi-hofu inatawala Amani ya nafsi yako na ndoa kwa ujumla
2.ukiiba mke au mume wa mtu-hofu ya kudakwa I nakupa msongo
3.ukiiba, hofu ya kukamatwa iko pale...

Ukipenda ongeza list😁😁
 
Ikumbukwe unaposoma Biblia usisome kama vitabu vingine...

Omba MUNGU akujaze Roho Mtakatifu ili uweze kuelewa neno lake....
 
Ikumbukwe unaposoma Biblia usisome kama vitabu vingine...

Omba MUNGU akujaze Roho Mtakatifu ili uweze kuelewa neno lake....
Hizi ndo propaganda za kijinga sana, basi huyo Mungu atakua mjinga sana kama ana madhart hayo ili watu wamjue..

Biblia ina mikanganyiko mingi sana
 
Yesu ni Mungu.....ubarikiwe
 
Hizi ndo propaganda za kijinga sana, basi huyo Mungu atakua mjinga sana kama ana madhart hayo ili watu wamjue..

Biblia ina mikanganyiko mingi sana
Mjinga ni wewe ambaye umepewa akili na ukapewa msaidizi ambaye ni Roho Mtakatifu kama mwalimu ila umeshindwa kumtumia ili kujua makuu ya Mungu...

NB: Roho Mtakatifu hakai mahali pachafu yaani kwenye dhambi...
 
Hizi ndo propaganda za kijinga sana, basi huyo Mungu atakua mjinga sana kama ana madhart hayo ili watu wamjue..

Biblia ina mikanganyiko mingi sana
Ukisoma biblia ili uchanganyikiwe utaokota makopo.
Sio shart. Ni sawa uletewe kitabu na Baba yako alafu usome ukiwa naye akikupa fafanuzi za zaida. Ndio maana Biblia inakiwa na utofauti na Vitabu vyote
 
Kama kuna kitabu kinachoharibu akili ni Bibilia acha kudanganya Watu. Eti nyoka aliongea na Hawa hivi toka lini nyoka anaongea, Eti Samson aliua Simba kwenye jangwa la Palestina toka lini simba anaishi Jangwani, Eti walivuka Bahari ya Shamu usiku mmoja yaani km600 uvuke usiku mmoja? Mke wa Ruth aligeuka Mwamba wa chumvi kwa kuangalia nyuma hivi inawezekana vipi kushuhudia uongo wakati nyie wote hakugeuka nyuma, Eti Suleiman alikuwa na Wake 300 na michepuko 700 lakini alikuwa na Watoto 4, Eti msamehe mtu saba mara sabini hala huyo Mungu wao akamfukuza Adam kwa kosa la kula Apple moja ,Ukisoma historia yaMisri huoni kama kuliwahi kuwepo kwa Mussa wala Yusuph ,Bibilia yote haisemi chochote juu ya Pyramid za Misri, Yaani Waafrika kutoka kimfanya Mzungu Mtumwa kilitokea nini Mpaka Muafrika karudi Utumwani, Bibilia mbona haisemi chochote juu ya Sayari? Vipi kwenye uumbaji nani alikuwepo wakati dunia inaumbwa mpaka akawa anarekodi?

NENDA HOSPITAL KAPIME AKILI KUAMINI BIBILIA NI MOJA YA MATATIZO YA AKILI .
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakucheka...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unasoma Biblia kama unasoma kitabu Cha Ngoswe lazima uwehuke...
 
Mjinga ni wewe ambaye umepewa akili na ukapewa msaidizi ambaye ni Roho Mtakatifu kama mwalimu ila umeshindwa kumtumia ili kujua makuu ya Mungu...

NB: Roho Mtakatifu hakai mahali pachafu yaani kwenye dhambi...
Kaa n upumbavu wako, eti roho mtakatifu! Ki vp? Huu ujinga umewafanya waafrica kuwa watumwa wa kifikra.
 
Kaa n upumbavu wako, eti roho mtakatifu! Ki vp? Huu ujinga umewafanya waafrica kuwa watumwa wa kifikra.
Waafrica wanahuzunisha sana na mambo yao ya kusadikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…