SOFTWARE Biblia Takatifu na Sauti

SOFTWARE Biblia Takatifu na Sauti

robbyl

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
423
Reaction score
424
Soma au Sikiliza neno la Mungu katika simu yako ya mkononi kwa kutumia app ya Biblia Takatifu na Sauti.

1. Biblia hii inakuwezesha kusoma au kusikiliza sauti bila intaneti. (HAITUMII BANDO)

2. Unapata neno la kila siku katika simu yako hata kama huna intaneti.

3. Unaweza ukatafuta neno lolote katika Biblia na itakupatia majibu neno hilo limeonekana mara ngapi katika Agano Jipya na la Kale.

4. Unaweza ukahifadhi mistari unayotaka kuipata baadae kwa urahisi kwa kitumia alamisho (Bookmarks) au kuiwkea rangi mbali mbali.

5. Ni app nzuri sana yenye tathmini ya 4.9 kati ya 5 kutokana na maoni ya watumiaji katika play store

6. Na mengine mengi........

Pakua app hii BURE. Ingia play store na tafuta 'Biblia Takatifu na Sauti' chagua ile iliyotengenezwa na Robert Londo.
Screenshot_20200518-070758~2.jpg
Screenshot_20200518-070833~2.jpg
Screenshot_20200518-070839~2.jpg
Screenshot_20200518-070857.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Biblia hii inakuwezesha kusoma au kusikiliza sauti bila intaneti. (HAITUMII BANDO)

Hapo umedanganya! Nimeidownload alafu nikazima data, nikawa nataka kusikiliza neno kwa njia ya audio ikashindikana.
Sauti unaipakua mara moja baada ya hapo unaweza kuisikiliaza bila bando muda wowote. Asante kwa kupakua app yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
App imeboreshwa
Sasa unaweza kusikiliza sauti za kitabu kizima cha Biblia hata kama app itakua imefungwa. (Listen in the background)

Pia unaweza kupakua (Download) sauti za kitabu kizima na baada ya kupakua unaweza kusikiliza muda wowote bila intaneti.

Ingia playstore na tafuta "Biblia Takatifu na Sauti" ili kuipakua app hii
Screenshot_20200828-073149.jpg
Screenshot_20200828-073200.jpg
Screenshot_20200828-073054.jpg

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
App imeboreshwa Unaweza kusikiliza sauti za vitabu vya Biblia bila intaneti baada ya kuipakua kwa mara ya kwanza
 
Ninaitumia ila nataka niwe nasoma kitabu kizima sio chapter moja moja. Nifanyaje? Yaani kila baada ya chapter inabidi nishike tena simu inaleta usumbufu kidogo
 
Ukiwa unasoma au unasikiliza sauti
 
Ninaitumia ila nataka niwe nasoma kitabu kizima sio chapter moja moja. Nifanyaje? Yaani kila baada ya chapter inabidi nishike tena simu inaleta usumbufu kidogo
Unaweza ukabadili chapter kwa urahisi kwa ku swiple kulia au kushoto. Tafadhali angalia video hiyo
 
Asante,nimeipakua ni nzuri,hongera

Ila kwenye sauti bado sijajaribu,nauliza hiyo sauti ili uweze kusikiliza baadae, unapakua kwa moja moja kwa maana ya kila chapter au kuna namna ya kupakua sauti ya bibilia mzima kwa wakati mmoja?

Na ukubwa wa sauti yote ni Mb/Gb ngapi?

Asante
 
Audio zote zinapakuliwa kwa kitabu. kwa mfano ukibofya hiyo icon mbele ya kitabu cha mwanzo utapakua sauti ya sura zote za kitabu cha mwazo. Baada ya kupakua utaweza kusikiliza nara nyingi bila Intaneti
 
Asante,nilidhani unaweza kupata option ya kudowload audio yote ya bibilia nzima kwa maramoja
 
Soma au Sikiliza neno la Mungu katika simu yako ya mkononi kwa kutumia app ya Biblia Takatifu na Sauti.

1. Biblia hii inakuwezesha kusoma au kusikiliza sauti bila intaneti. (HAITUMII BANDO)

2. Unapata neno la kila siku katika simu yako hata kama huna intaneti.

3. Unaweza ukatafuta neno lolote katika Biblia na itakupatia majibu neno hilo limeonekana mara ngapi katika Agano Jipya na la Kale.

4. Unaweza ukahifadhi mistari unayotaka kuipata baadae kwa urahisi kwa kitumia alamisho (Bookmarks) au kuiwkea rangi mbali mbali.

5. Ni app nzuri sana yenye tathmini ya 4.9 kati ya 5 kutokana na maoni ya watumiaji katika play store

6. Na mengine mengi........

Pakua app hii BURE. Ingia play store na tafuta 'Biblia Takatifu na Sauti' chagua ile iliyotengenezwa na Robert Londo. View attachment 1453069View attachment 1453070View attachment 1453071View attachment 1453072

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ubarikiwe sana. Sijajutia kui-download yaani nasikiliza neno la Mungu huku napata raha. Mfano ile Mathayo mlango wa 5. Zile Heri ukizisikiliza kwa audio unapata burudani kabisa. Ubarikiwe sana nataka niipe nyota tano
 
Asante sana kwa maneno ya kutia moyo. Inasaidia sana ukitoa nyota 5 Playstore, pia unaweza kuwaambia marafiki zako nao waitumie. Ubarikiwe [emoji2772]
 
Back
Top Bottom