Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma au Sikiliza neno la Mungu katika simu yako ya mkononi kwa kutumia app ya Biblia Takatifu na Sauti.
1. Biblia hii inakuwezesha kusoma au kusikiliza sauti bila intaneti. (HAITUMII BANDO)
2. Unapata neno la kila siku katika simu yako hata kama huna intaneti.
3. Unaweza ukatafuta neno lolote katika Biblia na itakupatia majibu neno hilo limeonekana mara ngapi katika Agano Jipya na la Kale.
4. Unaweza ukahifadhi mistari unayotaka kuipata baadae kwa urahisi kwa kitumia alamisho (Bookmarks) au kuiwkea rangi mbali mbali.
5. Ni app nzuri sana yenye tathmini ya 4.9 kati ya 5 kutokana na maoni ya watumiaji katika play store
6. Na mengine mengi........
Pakua app hii BURE. Ingia play store na tafuta 'Biblia Takatifu na Sauti' chagua ile iliyotengenezwa na Robert Londo. View attachment 1453069View attachment 1453070View attachment 1453071View attachment 1453072
Sent using Jamii Forums mobile app
Gusa kwa muda (long tap) mstari wowote utaona menyu wa kukuwezesha ku copy highlight na shareNikitaka kucopy mistari ili nikapaste mahala pengine nafanyaje?
AsanteGusa kwa muda (long tap) mstari wowote utaona menyu wa kukuwezesha ku copy highlight na share
Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
Long press mtari wowote utaona option ya copyAsante
Taf angalia pichaAsante
Asante nilifanikiwaTaf angalia picha View attachment 2044891