Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi.Ipakue app Playstore bure. Tafuta "Biblia na Sauti" View attachment 1711792
Ok. Asante nitarekebishaHi.
Boresha majina kwenye app yako, mfano jina 'Danieli' limeandikwa 'Danielii', jina 'Ruthu' limeandikwa 'Ruthuu', na kadhalika.
Pitia uone na majina mengine yaliyoongezewa herufi mbele yake uyarekebishe.
Otherwise, app ni nzuri sana.
Londo, kazi yako ni njema sana, hadi sasa hiyo Biblia uliyo-devep kwangu ndio the best. Barikiwa sana, kazi yako nzuri sana.Soma au Sikiliza neno la Mungu katika simu yako ya mkononi kwa kutumia app ya Biblia Takatifu na Sauti.
1. Biblia hii inakuwezesha kusoma au kusikiliza sauti bila intaneti. (HAITUMII BANDO)
2. Unapata neno la kila siku katika simu yako hata kama huna intaneti.
3. Unaweza ukatafuta neno lolote katika Biblia na itakupatia majibu neno hilo limeonekana mara ngapi katika Agano Jipya na la Kale.
4. Unaweza ukahifadhi mistari unayotaka kuipata baadae kwa urahisi kwa kitumia alamisho (Bookmarks) au kuiwkea rangi mbali mbali.
5. Ni app nzuri sana yenye tathmini ya 4.9 kati ya 5 kutokana na maoni ya watumiaji katika play store
6. Na mengine mengi........
Pakua app hii BURE. Ingia play store na tafuta 'Biblia Takatifu na Sauti' chagua ile iliyotengenezwa na Robert Londo. View attachment 1453069View attachment 1453070View attachment 1453071View attachment 1453072
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaLondo, kazi yako ni njema sana, hadi sasa hiyo Biblia uliyo-devep kwangu ndio the best. Barikiwa sana, kazi yako nzuri sana.
Vv
Wife anatumia I phone 5. Nime-search ili nimpakulie version yako lkn sikuiona, tufanyeje?Hauna muda wa kusoma Biblia?. Pakua Biblia hii playstore na uweze kusikiliza Biblia kwa sauti muda wowote tena bila kitumia bando. Ingia playstore tafuta 'Biblia na Sauti' kuipakua
Nashukuru kwa kutumia ap yangu. Kwa sasa inapatikana playstore kwa ajili ya simu za Android. Nitiweka baadae App store kwa ajili ya iOsWife anatumia I phone 5. Nime-search ili nimpakulie version yako lkn sikuiona, tufanyeje?
Vv
Mkuu uwe unaweka link kwa App zako ili tuwe tunaingia moja Kwa moja kutokea huku Jf
Jamii forums hawaruhusu kuweka link ya matangazoMkuu uwe unaweka link kwa App zako ili tuwe tunaingia moja Kwa moja kutokea huku Jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kwangu hapa naona inapakua vizuri tu. Nadhani ni internet yako. Jaribu kitabu chenye sura chache mfano RuthuNimeshapakua biblia mkuu, ila sauti inagoma kupakua
Umefanikiwa?Nimeshapakua biblia mkuu, ila sauti inagoma kupakua
Nikitaka kucopy mistari ili nikapaste mahala pengine nafanyaje?