SOFTWARE Biblia Takatifu na Sauti

Sasa unaweza kusikiliza sauti ya vitabu vya Biblia bila kuwa na intraneti. Ingia play store na tafuta Biblia Takatifu na Sauti kuipakua app
 
App imeboreshwa zaidi. Ingia play store tafuta "Biblia na Sauti" kuipakua
 
Ipakue app Playstore bure. Tafuta "Biblia na Sauti" View attachment 1711792
Hi.
Boresha majina kwenye app yako, mfano jina 'Danieli' limeandikwa 'Danielii', jina 'Ruthu' limeandikwa 'Ruthuu', na kadhalika.
Pitia uone na majina mengine yaliyoongezewa herufi mbele yake uyarekebishe.
Otherwise, app ni nzuri sana.
 
Ok. Asante nitarekebisha
 
Londo, kazi yako ni njema sana, hadi sasa hiyo Biblia uliyo-devep kwangu ndio the best. Barikiwa sana, kazi yako nzuri sana.

Vv
 
Hauna muda wa kusoma Biblia?. Pakua Biblia hii playstore na uweze kusikiliza Biblia kwa sauti muda wowote tena bila kitumia bando. Ingia playstore tafuta 'Biblia na Sauti' kuipakua
 
Hauna muda wa kusoma Biblia?. Pakua Biblia hii playstore na uweze kusikiliza Biblia kwa sauti muda wowote tena bila kitumia bando. Ingia playstore tafuta 'Biblia na Sauti' kuipakua
Wife anatumia I phone 5. Nime-search ili nimpakulie version yako lkn sikuiona, tufanyeje?

Vv
 
Wife anatumia I phone 5. Nime-search ili nimpakulie version yako lkn sikuiona, tufanyeje?

Vv
Nashukuru kwa kutumia ap yangu. Kwa sasa inapatikana playstore kwa ajili ya simu za Android. Nitiweka baadae App store kwa ajili ya iOs
 
Nimeshapakua biblia mkuu, ila sauti inagoma kupakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…