Biblia: Usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo

Biblia: Usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,327
Reaction score
4,624
Walawi 19:15 BHN‬
“Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki."
 
ilo andiko moja kwa moja linaenda kwa yule mbunge gaidi wa Babati, aliyemuingizia chupa kijana mtoto wa masikini.
 
Back
Top Bottom