tutafikatu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 3,327 Reaction score 4,624 Mar 26, 2024 #1 Walawi 19:15 BHN “Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki."
Walawi 19:15 BHN “Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki."
M Mkumbwa Jr JF-Expert Member Joined Mar 23, 2016 Posts 2,668 Reaction score 3,751 Mar 26, 2024 #2 Sio kwa watanzania
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Mar 26, 2024 #3 Hii Sheria haifanyi kazi hapa duniani
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Mar 26, 2024 #4 ilo andiko moja kwa moja linaenda kwa yule mbunge gaidi wa Babati, aliyemuingizia chupa kijana mtoto wa masikini.
ilo andiko moja kwa moja linaenda kwa yule mbunge gaidi wa Babati, aliyemuingizia chupa kijana mtoto wa masikini.