Bidada kakataa kumeza P2

safi sana, either ulee au uache single mother ajipambanie
 
Sasa mimba ishakuwa mimba mtu anatumia P2 tena πŸ˜†
Ndo huko juu nashangaa hiyo jamaa inayosema et p2 inamnyinga mtoto..
😁😁😁😁😁😁😁😁

Yaan kama kungekua na p3 kwa wanaume mi ningetymia tuu dadek
 
Huyo anataka akuzalie
 
Ivi mbona uvamizi wa vijana wa facebook kipindi hiki umekithiri sanaa aisee ??
Mods mpo wapi??
 
Hiyo ndiyo salama condom kwa mwanamke after sex.....
Nakushauri,kama kweli wampenda meza wewe kwa niabaπŸ€’
 
Sa P2 ya nini wakati mwenzio lengi ni kukubambikia mimba aliyonayo?

Akimeza P2 atashindwa kukwambia BABY SIONI SIKU ZANGU ambazo zilishapotezwa siku nyingi na warahaika wenzio waliokutangulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…