Bidada kakataa kumeza P2

Bidada kakataa kumeza P2

Wakuu huyu bidada simwelewi kabisa tulikutana kurahaika.

Sasa nimemkabidhi P2 avimeze tumalize kesi. Naona bidada katia mguu chini hataki kumeza wakati kakidonge kenyewe ni kadogodogo tu tena kamoja tu.

Simwelewi kabisa huyu bidada anataka kitokee nini.
safi sana, either ulee au uache single mother ajipambanie
 
Sasa mimba ishakuwa mimba mtu anatumia P2 tena 😆
Ndo huko juu nashangaa hiyo jamaa inayosema et p2 inamnyinga mtoto..
😁😁😁😁😁😁😁😁

Yaan kama kungekua na p3 kwa wanaume mi ningetymia tuu dadek
 
Wakuu huyu bidada simwelewi kabisa tulikutana kurahaika.

Sasa nimemkabidhi P2 avimeze tumalize kesi. Naona bidada katia mguu chini hataki kumeza wakati kakidonge kenyewe ni kadogodogo tu tena kamoja tu.

Simwelewi kabisa huyu bidada anataka kitokee nini.
Huyo anataka akuzalie
 
Ivi mbona uvamizi wa vijana wa facebook kipindi hiki umekithiri sanaa aisee ??
Mods mpo wapi??
 
Hiyo ndiyo salama condom kwa mwanamke after sex.....
Nakushauri,kama kweli wampenda meza wewe kwa niaba🤒
 
Wakuu huyu bidada simwelewi kabisa tulikutana kurahaika.

Sasa nimemkabidhi P2 avimeze tumalize kesi. Naona bidada katia mguu chini hataki kumeza wakati kakidonge kenyewe ni kadogodogo tu tena kamoja tu.

Simwelewi kabisa huyu bidada anataka kitokee nini.
Sa P2 ya nini wakati mwenzio lengi ni kukubambikia mimba aliyonayo?

Akimeza P2 atashindwa kukwambia BABY SIONI SIKU ZANGU ambazo zilishapotezwa siku nyingi na warahaika wenzio waliokutangulia
 
Back
Top Bottom