D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 997 Reaction score 1,220 Jan 28, 2025 #1 Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!!
Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!!
Pulchra Animo JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 3,718 Reaction score 3,465 Jan 28, 2025 #2 Dr wa Manesi said: Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!! Click to expand... America inanuka. Unafiki wake hauna mfano; wanachokipinga somewhere ndicho wanachokifanya elsewhere!
Dr wa Manesi said: Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!! Click to expand... America inanuka. Unafiki wake hauna mfano; wanachokipinga somewhere ndicho wanachokifanya elsewhere!
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Jan 28, 2025 #3 Makomunisti na majamaa uchwara mmepata chaka la kujiegemeza kuficha ujinga wenu - eti mbona hata America yapo! Halafu mnapenda kweli negatives; mbona positives mnajifanya hamzioni?
Makomunisti na majamaa uchwara mmepata chaka la kujiegemeza kuficha ujinga wenu - eti mbona hata America yapo! Halafu mnapenda kweli negatives; mbona positives mnajifanya hamzioni?
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 997 Reaction score 1,220 Jan 28, 2025 Thread starter #4 dudus said: Makomunisti na majamaa uchwara mmepata chaka la kujiegemeza kuficha ujinga wenu - eti mbona hata America yapo! Halafu mnapenda kweli negatives; mbona positives mnajifanya hamzioni? Click to expand... Jadili hoja basi, acha uchambaji wa kigiggy money. Mazuri mbona yanasemwa Kila siku. Hii hoja ni kama breaking news hivyo watu lazima tulizungumzie.
dudus said: Makomunisti na majamaa uchwara mmepata chaka la kujiegemeza kuficha ujinga wenu - eti mbona hata America yapo! Halafu mnapenda kweli negatives; mbona positives mnajifanya hamzioni? Click to expand... Jadili hoja basi, acha uchambaji wa kigiggy money. Mazuri mbona yanasemwa Kila siku. Hii hoja ni kama breaking news hivyo watu lazima tulizungumzie.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Jan 28, 2025 #5 Rudi home kaka.
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 27,885 Reaction score 76,043 Jan 28, 2025 #6 Kumekucha Miaka minne ijayo kama ajaye ni mwingine naye atafanya yake Na kuendelea...
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Jan 28, 2025 #7 Inasikitisha sana
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Jan 28, 2025 #8 CCM DAIMA ndio funzo achaneni na watabiri uchwara mifano halis si mnaona