Biden alimfutia mtoto wake mashitaka; Trump kawafutia mashitaka mashabiki zake na kuwafukuza kazi wote waliomhukumu. Demokrasia ipo wapi?

Biden alimfutia mtoto wake mashitaka; Trump kawafutia mashitaka mashabiki zake na kuwafukuza kazi wote waliomhukumu. Demokrasia ipo wapi?

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
997
Reaction score
1,220
Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!!
 
Makomunisti na majamaa uchwara mmepata chaka la kujiegemeza kuficha ujinga wenu - eti mbona hata America yapo!

Halafu mnapenda kweli negatives; mbona positives mnajifanya hamzioni?
Jadili hoja basi, acha uchambaji wa kigiggy money. Mazuri mbona yanasemwa Kila siku. Hii hoja ni kama breaking news hivyo watu lazima tulizungumzie.
 
Kumekucha

Miaka minne ijayo kama ajaye ni mwingine naye atafanya yake

Na kuendelea...
 
CCM DAIMA ndio funzo achaneni na watabiri uchwara mifano halis si mnaona
 
Back
Top Bottom