Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
America inanuka. Unafiki wake hauna mfano; wanachokipinga somewhere ndicho wanachokifanya elsewhere!Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!!
Jadili hoja basi, acha uchambaji wa kigiggy money. Mazuri mbona yanasemwa Kila siku. Hii hoja ni kama breaking news hivyo watu lazima tulizungumzie.Makomunisti na majamaa uchwara mmepata chaka la kujiegemeza kuficha ujinga wenu - eti mbona hata America yapo!
Halafu mnapenda kweli negatives; mbona positives mnajifanya hamzioni?