Biden amtaka Rais Xi wa China kutoisaidia Urusi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya mwenzake wa China Xi Jinping juu ya athari zitakazoikabili Beijing, endapo itatoa msaada wa vifaa kwa Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine.

Biden ametoa onyo hilo wakati wa mazungumzo kwa njia ya video na rais Xi juu ya mzozo wa Ukraine. Msemaji wa Ikulu ya Marekani White House Jen Psaki, amesema rais Biden ameelezea jitihada za Marekani na washirika wake katika kushughulikia uvamizi wa Urusi, ikiwemo kuiwekea vikwazo vikali Moscow.

Wizara ya mambo ya nje ya China imeandika kwamba rais Xi amemueleza Biden, juu ya kukomeshwa vita ya Ukraine haraka iwezekanavyo na kutoa wito kwa jumuiya ya kujihami NATO kufanya mazungumzo na Moscow, ili kushughulikia kiini cha mzozo wa Ukraine na kupunguza wasiwasi wa usalama wa mataifa hayo jirani.

DW Swahili
 
Putin kaishiwa Long Range Cruise Missile
Screenshot_20220319-122733.jpg
 
Biden anaongea kuhadaa ulimwengu hapo k'moyo moyo anaombea Ukraine ipigwe kweli kweli...

maana kama ni kumsaidia Ukraine angefanya kwa vitendo sio kuongea ongea tu na kuungurumia alipokaa kama jiko la gesi bila kufanya chochote
 
Russia alijua uvamizi utafaulu ndani ya muda mfupi sana sasa baada ya mambo kuwa kinyume na kupata hasara kubwa wameishiwa hata rasilimali za kuweza kuendeshea vita kwa sababu uchumi wao ni mdogo wakizidiwa hata na South Korea.

Kwa maana hiyo wakajikuta wanaanza kutembeza bakuli kwa China ambaye naye akicheza ataambukizwa maradhi ya vikwazo na Russia.

Kama hali itakuwa hivi basi mwanzoni mwa mwezi ujao dunia inaweza ikashuhudia maajabu ya askari wavamizi kuanza kujisalimisha kwa kukosa chakula kwani njaa haina komandoo na ndio ikawa mwanzo wa vita kwisha kwa aibu ambayo hatima yake ni anguko jingine la pili kwa dola ya Urusi na baadaye walioratibu hivi vita watatakiwa kufikishwa kwenye mahakama ya ICC na Russia baadaye kulazimishwa kulipa War Reparations kwa Ukraine. Please, keep a close watch.
 
Never exist
 
Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya mwenzake wa China Xi Jinping juu ya athari zitakazoikabili Beijing, endapo itatoa msaada wa vifaa kwa Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine.

Biden ametoa onyo hilo wakati wa mazungumzo kwa njia ya video na rais Xi juu ya mzozo wa Ukraine. Msemaji wa Ikulu ya Marekani White House Jen Psaki, amesema rais Biden ameelezea jitihada za Marekani na washirika wake katika kushughulikia uvamizi wa Urusi, ikiwemo kuiwekea vikwazo vikali Moscow.

Wizara ya mambo ya nje ya China imeandika kwamba rais Xi amemueleza Biden, juu ya kukomeshwa vita ya Ukraine haraka iwezekanavyo na kutoa wito kwa jumuiya ya kujihami NATO kufanya mazungumzo na Moscow, ili kushughulikia kiini cha mzozo wa Ukraine na kupunguza wasiwasi wa usalama wa mataifa hayo jirani.

DW Swahili
Yey mmarekani propaganda tu atie mkono Kwa Putin atajua hajui
 
[emoji14][emoji12][emoji23] sawa
 
Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya mwenzake wa China Xi Jinping juu ya athari zitakazoikabili Beijing, endapo itatoa msaada wa vifaa kwa Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine.

Biden ametoa onyo hilo wakati wa mazungumzo kwa njia ya video na rais Xi juu ya mzozo wa Ukraine. Msemaji wa Ikulu ya Marekani White House Jen Psaki, amesema rais Biden ameelezea jitihada za Marekani na washirika wake katika kushughulikia uvamizi wa Urusi, ikiwemo kuiwekea vikwazo vikali Moscow.

Wizara ya mambo ya nje ya China imeandika kwamba rais Xi amemueleza Biden, juu ya kukomeshwa vita ya Ukraine haraka iwezekanavyo na kutoa wito kwa jumuiya ya kujihami NATO kufanya mazungumzo na Moscow, ili kushughulikia kiini cha mzozo wa Ukraine na kupunguza wasiwasi wa usalama wa mataifa hayo jirani.

DW Swahili
Mbona yeye anamsaidia Ukraine?
 
Back
Top Bottom