Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Huawei yupo chimbo anajipanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huawei yupo chimbo anajipanga
Biden ni mpuuzi sana ,yeye na washirika wake zaidi ya 30 wanamshambulia mrusi,halafu hataki mrusi awe na mshirika kwenye mzozo huu.Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya mwenzake wa China Xi Jinping juu ya athari zitakazoikabili Beijing, endapo itatoa msaada wa vifaa kwa Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine.
Biden ametoa onyo hilo wakati wa mazungumzo kwa njia ya video na rais Xi juu ya mzozo wa Ukraine. Msemaji wa Ikulu ya Marekani White House Jen Psaki, amesema rais Biden ameelezea jitihada za Marekani na washirika wake katika kushughulikia uvamizi wa Urusi, ikiwemo kuiwekea vikwazo vikali Moscow.
Wizara ya mambo ya nje ya China imeandika kwamba rais Xi amemueleza Biden, juu ya kukomeshwa vita ya Ukraine haraka iwezekanavyo na kutoa wito kwa jumuiya ya kujihami NATO kufanya mazungumzo na Moscow, ili kushughulikia kiini cha mzozo wa Ukraine na kupunguza wasiwasi wa usalama wa mataifa hayo jirani.
DW Swahili
Hata Putin alitishia wanaomsaidia Ukraine akiwemo MarekaniBiden ni mpuuzi sana ,yeye na washirika wake zaidi ya 30 wanamshambulia mrusi,halafu hataki mrusi awe na mshirika kwenye mzozo huu.
Mbona yeye kashindwa kwenda peke yake kupambana na Putin?
Jana Africa tumetoka kuonywa tuchague upande leo China anapigwa onyo na yeye.
Hapa sasa ndiyo utachagua kati ya dawa za bure za ARV na TB au ushkaji wako na Putin.
Hizi hadithi kuhusu uchumi wa Urusi kulingana au kushindwa na Uchumi wa jimbo la California adithi hizo ni za muda mrefu sana, swali ni: hivi kuna ukweli gani katika madai hayo ya mataifa ya magharibi,je,lengo lao la kurudia rudia madai haya miaka nenda rudi kuna wanufahisha nini?Russia alijua uvamizi utafaulu ndani ya muda mfupi sana sasa baada ya mambo kuwa kinyume na kupata hasara kubwa wameishiwa hata rasilimali za kuweza kuendeshea vita kwa sababu uchumi wao ni mdogo wakizidiwa hata na South Korea.
Kwa maana hiyo wakajikuta wanaanza kutembeza bakuli kwa China ambaye naye akicheza ataambukizwa maradhi ya vikwazo na Russia.
Kama hali itakuwa hivi basi mwanzoni mwa mwezi ujao dunia inaweza ikashuhudia maajabu ya askari wavamizi kuanza kujisalimisha kwa kukosa chakula kwani njaa haina komandoo na ndio ikawa mwanzo wa vita kwisha kwa aibu ambayo hatima yake ni anguko jingine la pili kwa dola ya Urusi na baadaye walioratibu hivi vita watatakiwa kufikishwa kwenye mahakama ya ICC na Russia baadaye kulazimishwa kulipa War Reparations kwa Ukraine. Please, keep a close watch.
Sema Hadithi sio AdithiHizi adithi kuhusu uchumi wa Urusi kulingana au kushindwa na Uchumi wa jimbo la California adithi hizo ni za muda mrefu sana, swali ni: hivi kuna ukweli gani katika madai hayo ya mataifa ya magharibi,je,lengo lao la kurudia rudia madai haya miaka nenda rudi kuna wanufahisha nini?
Hivi inaingia akili kwamba Taifa ambalo ni Super Power linaweza kuwa na uchumi ambao ni dismal kivile - kwa nini nchi za magharibi specifically Merikani ina kasumba ya kuziharibia sifa mataifa ambayo yanaonekana kuwa challenge kijeshi na Kiuchumi, watazisema sema vibaya na kuzizulia mambo ambayo hayana kichwa wala miguu, cha ajabu kuna baadhi ya watu Duniani wanao amini adithi hizi za kipuuzi.
Kwa hiyo wewe kwa hiyo akili yako unafikiri Russia kiuchumi ni wa ngapi, wa kwanza au wa pili. Ushabiki maandazi ni shida sana.Hizi hadithi kuhusu uchumi wa Urusi kulingana au kushindwa na Uchumi wa jimbo la California adithi hizo ni za muda mrefu sana, swali ni: hivi kuna ukweli gani katika madai hayo ya mataifa ya magharibi,je,lengo lao la kurudia rudia madai haya miaka nenda rudi kuna wanufahisha nini?
Hivi inaingia akili kwamba Taifa ambalo ni Super Power linaweza kuwa na uchumi ambao ni dismal kivile - kwa nini nchi za magharibi specifically Merikani ina kasumba ya kuziharibia sifa mataifa ambayo yanaonekana kuwa challenge kijeshi na Kiuchumi, watazisema sema vibaya na kuzizulia mambo ambayo hayana kichwa wala miguu, cha ajabu kuna baadhi ya watu Duniani wanao amini hadithi hizi za kipuuzi.
Wapuuzi sana hawa wanakuwa driven na majivuno ya kijinga - kazi kuzunguka Dunia akiwaribia sifa washindani wake kijeshi na kiuchumi - hawana hata aibu,we fikiria walivyo wa ajabu,mfano unaweza kuamini kwamba wangekuwa na ubavu wakumu-approach Rais wa Venezuela Mudoro eti aongeze uzalishaji wa mafuta kuziba pengo la upungufu wa uzalishaji wa mafuta kwenye soko la Dunia baada ya Urusi kuwekewa vikwazo vya kiuchumi, just imagine Wamerika wanajitia kusahasu kwamba miaka mitatu/minne aliyo pita Moduro aliponea chupu chupu kuuwawa na Drone iliyo tumwa akiwa jukwaani kwenye mkutano, alinusuliwa na walinzi wake, na alipata taarifa baadae kwamba kundi linalo saidiwa na Merikani walikuwa wanahusika katika njama hizo za kujaribu kumu-assassinate, haya tuje kwa Mfalme wa Saudia - Biden aliwahi kusema ni muuaji na aheshimu haki za binadamu baada ya Kashogi kuuwawa, Mfalme alikasirishwa sana na Kauli ya Rais Biden mpaka akafikia hatua ya kukataa kupokea simu ya Biden, juzi juzi hapa Biden kafunga safari kwenda Saudia kukutana na Mfalme kwa mazungumzo, Biden kamuomba kwamba Saudia iongeze uzalishaji wa mafuta ili kuziba pengo linalo sababishwa na Urusi kuwekewa vikwazo - kitu cha kwanza Mfalme alimwambia Biden kwamba hasimchagulie mataifa/rafiki yapi ya kushirikiana nayo, Saudia ni Taifa huru haliitaji somo katika masuala ya mahusiano kati ya nchi na nchi - sina uhakika kama Saudia alikubali ombi la Biden lakini watu wanasema hakumuhaidi kitu na kumbuka Saudia ni mwanachama wa OPEC ambayo Urusi ni mwanachama hivyo Mfalme hawezi kukihuka masharti/kanuni za OPEC badala yake hivi sasa Saudia inapeleka meli kubwa kubwa kwenda kununua mafuta kwa wingi kutoka Urusi.Biden ni mpuuzi sana ,yeye na washirika wake zaidi ya 30 wanamshambulia mrusi,halafu hataki mrusi awe na mshirika kwenye mzozo huu.
Mbona yeye kashindwa kwenda peke yake kupambana na Putin?