Biden amtaka Rais Xi wa China kutoisaidia Urusi

Biden ni mpuuzi sana ,yeye na washirika wake zaidi ya 30 wanamshambulia mrusi,halafu hataki mrusi awe na mshirika kwenye mzozo huu.
Mbona yeye kashindwa kwenda peke yake kupambana na Putin?
 
Biden ni mpuuzi sana ,yeye na washirika wake zaidi ya 30 wanamshambulia mrusi,halafu hataki mrusi awe na mshirika kwenye mzozo huu.
Mbona yeye kashindwa kwenda peke yake kupambana na Putin?
Hata Putin alitishia wanaomsaidia Ukraine akiwemo Marekani
 
Jana Africa tumetoka kuonywa tuchague upande leo China anapigwa onyo na yeye.

Hapa sasa ndiyo utachagua kati ya dawa za bure za ARV na TB au ushkaji wako na Putin.

Kilicho baki hapa dunia ipigwe factory reset tu.
 
Hizi hadithi kuhusu uchumi wa Urusi kulingana au kushindwa na Uchumi wa jimbo la California adithi hizo ni za muda mrefu sana, swali ni: hivi kuna ukweli gani katika madai hayo ya mataifa ya magharibi,je,lengo lao la kurudia rudia madai haya miaka nenda rudi kuna wanufahisha nini?

Hivi inaingia akili kwamba Taifa ambalo ni Super Power linaweza kuwa na uchumi ambao ni dismal kivile - kwa nini nchi za magharibi specifically Merikani ina kasumba ya kuziharibia sifa mataifa ambayo yanaonekana kuwa challenge kijeshi na Kiuchumi, watazisema sema vibaya na kuzizulia mambo ambayo hayana kichwa wala miguu, cha ajabu kuna baadhi ya watu Duniani wanao amini hadithi hizi za kipuuzi.
 
Sema Hadithi sio Adithi
 
Kwa hiyo wewe kwa hiyo akili yako unafikiri Russia kiuchumi ni wa ngapi, wa kwanza au wa pili. Ushabiki maandazi ni shida sana.
 
Huyo Biden amekua Kam DC sidhani kama hata hiyo kauli yake itafanyiwa utekelezaji
 
O
Biden ni mpuuzi sana ,yeye na washirika wake zaidi ya 30 wanamshambulia mrusi,halafu hataki mrusi awe na mshirika kwenye mzozo huu.
Mbona yeye kashindwa kwenda peke yake kupambana na Putin?
Wapuuzi sana hawa wanakuwa driven na majivuno ya kijinga - kazi kuzunguka Dunia akiwaribia sifa washindani wake kijeshi na kiuchumi - hawana hata aibu,we fikiria walivyo wa ajabu,mfano unaweza kuamini kwamba wangekuwa na ubavu wakumu-approach Rais wa Venezuela Mudoro eti aongeze uzalishaji wa mafuta kuziba pengo la upungufu wa uzalishaji wa mafuta kwenye soko la Dunia baada ya Urusi kuwekewa vikwazo vya kiuchumi, just imagine Wamerika wanajitia kusahasu kwamba miaka mitatu/minne aliyo pita Moduro aliponea chupu chupu kuuwawa na Drone iliyo tumwa akiwa jukwaani kwenye mkutano, alinusuliwa na walinzi wake, na alipata taarifa baadae kwamba kundi linalo saidiwa na Merikani walikuwa wanahusika katika njama hizo za kujaribu kumu-assassinate, haya tuje kwa Mfalme wa Saudia - Biden aliwahi kusema ni muuaji na aheshimu haki za binadamu baada ya Kashogi kuuwawa, Mfalme alikasirishwa sana na Kauli ya Rais Biden mpaka akafikia hatua ya kukataa kupokea simu ya Biden, juzi juzi hapa Biden kafunga safari kwenda Saudia kukutana na Mfalme kwa mazungumzo, Biden kamuomba kwamba Saudia iongeze uzalishaji wa mafuta ili kuziba pengo linalo sababishwa na Urusi kuwekewa vikwazo - kitu cha kwanza Mfalme alimwambia Biden kwamba hasimchagulie mataifa/rafiki yapi ya kushirikiana nayo, Saudia ni Taifa huru haliitaji somo katika masuala ya mahusiano kati ya nchi na nchi - sina uhakika kama Saudia alikubali ombi la Biden lakini watu wanasema hakumuhaidi kitu na kumbuka Saudia ni mwanachama wa OPEC ambayo Urusi ni mwanachama hivyo Mfalme hawezi kukihuka masharti/kanuni za OPEC badala yake hivi sasa Saudia inapeleka meli kubwa kubwa kwenda kununua mafuta kwa wingi kutoka Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…