Biden atoa kauli kali kwa Putin, Ikulu yaingilia kati kupooza makali

Biden atoa kauli kali kwa Putin, Ikulu yaingilia kati kupooza makali

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Rais wa Marekani, Joe Biden amemshambulia moja kwa moja Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hotuba yake kwa kusema ‘Mtu huyo hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu’ na kuonya kuwa kama akiendelea anachokifanya anaweza kusababisha vita ya muda mrefu Ulaya.

“Mungu wangu, huyu mtu hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu,” alinukuliwa akisema Biden, jana Jumamosi Machi 26, 2022.

Mara baada ya kauli hiyo, The Kremlin ambayo ni ngome ya Putin ilionyeshwa kukasishwa na kauli hiyo, ndipo Ikulu ya Marekani ikaweka wazi kuhusu kauli hiyo ya Biden.

Ikulu ya Marekani (White House) imesema kuwa kauli hiyo haikuwa ikimaanisha kuwa anashawishi mabadiliko ya utawala wa Urusi.

“Rais alimaanisha kuwa Putin hawezi kuendelea kuwa na nguvu dhidi ya Nchi jirani yake. Hakuwa akizungumzia kuhusu utawala wa Putin Nchini Urusi,” ilisema taarifa ya White House.

Bidennn.JPG


Source: Daily Mail

-----------------------

'For God's sake, this man cannot remain in power': Biden says Putin should no longer be leader of Russia in fiery speech in Poland - but the White House is forced to walk back his comments and insist he's NOT calling for regime change


President Joe Biden went directly after Vladimir Putin in an emotional speech on Saturday, where he said the Russian president 'cannot remain in power' and warned if Putin's ambitions went unchecked it could lead to decades of war in Europe.

'For god's sake this man cannot remain in power,' he said of Putin, describing the Russian president as having a 'craving for absolute power and control.'

The Kremlin reacted furiously at the quote and the White House moved quickly to clear it up, saying Biden was not calling for a regime change in Moscow.

'The President's point was that Putin cannot be allowed to exercise power over his neighbors or the region. He was not discussing Putin's power in Russia, or regime change,' a White House official said.

he Biden administration has taken care to not call for a regime change in Russia, knowing Putin would see it as an escalation.
 
Wali mquote vibaya au wali mhack lakini yeye hajakusudia hasa kusema hivyo.

Chezea Putin wewe.
Wamarekani nao! Wameniangusha sana katika hili, kama ni kweli sijapenda. Kwanini isibaki hivyohivyo ilivyo? Kwanini kujitetea? Wanahofia nini?
 
Back
Top Bottom