Biden atoa kauli kali kwa Putin, Ikulu yaingilia kati kupooza makali

Biden atoa kauli kali kwa Putin, Ikulu yaingilia kati kupooza makali

Bora nusu shari
Vita tunaijui baadhi humu na hii watu wanayoiomba sio za silaha ndogo ni nuclear [emoji3518]
Hapo USA anaepusha Shari skijua mziki wa Russia
 
Kiufupi tu Huna akili na huijui Urusi

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Wana akili sana tu, na wanajua vizuri sana jinsi gani Russia ni habari nyingine kiuwezo wa technology, rasilimali, kiuchumi na hata kibiashara duniani.

Tatizo kuna Wamarekani weusi wanafanya kazi NGOs kama UN so lazima wajitutumue kujitetea wana mahaba na USA hata kinafki tu, maana wanahofia mifumo yao ya kimawasiliano inaweza kuwa imeshaunganishwa na USA 1 kwa 1 na rahisi kugundulika wanashabikia nchi ya RUSSIA ambayo ni mhasimu mkubwa sana wa USA [emoji847]
 
Putin days are numbered. Just stay tune. Huwezi fanya ukatili kama huu ukabaki salama.
Hizo ni ndoto kama ndoto nyingine..Putin is there to stay!

Unaouita ukatili walifanyiwa Libya, Iraq na kwingineko na viongozi walioamrisha hayo walidumu kwa vipindi vyao..kwanini iwe tofauti kwa Putin!?

Taarifa za upande mmoja kuhusu hii vita tunazopokea ni propaganda za west.
Wangeeleweka vizuri kama wangeacha vyombo vyote vya habari vitoe taarifa zao watu wafanye uchambuzi wenyewe.
 
Mbona anapindisha pindisha kauli huyu choko BidenšŸ˜…!!!
Ameshasema Putin hatakiwi kubakia madarakani for Gods sake. Hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu huyu...

Halafu anachengesha tafsiri yake hio nguvu sio ya uraisi ila nguvu ya kuishambulia Ukraine šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜… mtoto Joisi Biden.
 
Hizo ni ndoto kama ndoto nyingine..Putin is there to stay!

Unaouita ukatili walifanyiwa Libya, Iraq na kwingineko na viongozi walioamrisha hayo walidumu kwa vipindi vyao..kwanini iwe tofauti kwa Putin!?

Taarifa za upande mmoja kuhusu hii vita tunazopokea ni propaganda za west.
Wangeeleweka vizuri kama wangeacha vyombo vyote vya habari vitoe taarifa zao watu wafanye uchambuzi wenyewe.
Cha kushangaza kabisa huko kote ambapo USA kamwaga damu na NATO yake hapajawahi kutokea kura zozote zile zilizopigwa na Maseneta wa USA wala Wabunge wa nchi za Ulaya magharibi kulaani unyama uliokuwa ukifanywa na USA.

Lakini pale ambapo Russia anataka kujiimarisha kiulinzi karibu na mipaka ya himaya yake ni Mkatili na muuaji kupita hata akina George Bush [emoji15]

Mbona USA alipomwomba RUSSIA atoe kambi za majeshi yake Cuba hakuwa na ubishi wowote zaidi ya kukubali tu, kwanini sasa hivi RUSSIA avumishwe na propaganda tele za midea za USA na EU kuwa ni muuaji na hahitajiki kuwa na hizo nguvu [emoji848][emoji19]

Hakuna haki yoyote hapo anayotendewa RUSSIA zaidi ya unafki tupu.

Na kwanini USA hakupeleka silaha za misaada SYRIA, AFGHANISTAN, IRAQ, LIBYA, YEMEN na VIETNAM [emoji848][emoji34]
 
Hahaaaa...[emoji16] Nimecheka kwa sauti kubwa sana Mkuu.

Kwamba badala ya kumwita Putin umefikia hatua ya kumwita "PUT IN" ukimaanisha huyo Mbabe ni Mzee wa kuweka tu akizinguliwa na mabeberu wala hatanii [emoji848][emoji1787]
PUT IN hua hatanii bi JOYCE BIDEN na NYUMBA NYEUPE wameprove hili
 
Moscow wamejibu kwa moto, naona CIA wamewahi kuokoa jahazi.......huyu babu uchaguzi ujao hatoboi
 
Bora Mlivyobadilisha Kauli, Si mnajuwa Eipasoniki linafika Unyamwezini?
 
Naona jinsi mpaka wa Poland utakavyofanywa kuwa bize na Urusi na inawezekana Ulaya ikawekwa kama sehemu hatari kwa Urusi
 
Rais wa Marekani, Joe Biden amemshambulia moja kwa moja Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hotuba yake kwa kusema ā€˜Mtu huyo hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu’ na kuonya kuwa kama akiendelea anachokifanya anaweza kusababisha vita ya muda mrefu Ulaya.

ā€œMungu wangu, huyu mtu hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu,ā€ alinukuliwa akisema Biden, jana Jumamosi Machi 26, 2022.

Mara baada ya kauli hiyo, The Kremlin ambayo ni ngome ya Putin ilionyeshwa kukasishwa na kauli hiyo, ndipo Ikulu ya Marekani ikaweka wazi kuhusu kauli hiyo ya Biden.

Ikulu ya Marekani (White House) imesema kuwa kauli hiyo haikuwa ikimaanisha kuwa anashawishi mabadiliko ya utawala wa Urusi.

ā€œRais alimaanisha kuwa Putin hawezi kuendelea kuwa na nguvu dhidi ya Nchi jirani yake. Hakuwa akizungumzia kuhusu utawala wa Putin Nchini Urusi,ā€ ilisema taarifa ya White House.

View attachment 2165639

Source: Daily Mail

-----------------------

'For God's sake, this man cannot remain in power': Biden says Putin should no longer be leader of Russia in fiery speech in Poland - but the White House is forced to walk back his comments and insist he's NOT calling for regime change


President Joe Biden went directly after Vladimir Putin in an emotional speech on Saturday, where he said the Russian president 'cannot remain in power' and warned if Putin's ambitions went unchecked it could lead to decades of war in Europe.

'For god's sake this man cannot remain in power,' he said of Putin, describing the Russian president as having a 'craving for absolute power and control.'

The Kremlin reacted furiously at the quote and the White House moved quickly to clear it up, saying Biden was not calling for a regime change in Moscow.

'The President's point was that Putin cannot be allowed to exercise power over his neighbors or the region. He was not discussing Putin's power in Russia, or regime change,' a White House official said.

he Biden administration has taken care to not call for a regime change in Russia, knowing Putin would see it as an escalation.
Nimecheka sana Putin ni mnyama sana
 
Back
Top Bottom