Biden atoa kauli kali kwa Putin, Ikulu yaingilia kati kupooza makali

Putin days are numbered. Just stay tune. Huwezi fanya ukatili kama huu ukabaki salama.
 
Wamarekani nao! Wameniangusha sana katika hili, kama ni kweli sijapenda. Kwanini isibaki hivyohivyo ilivyo? Kwanini kujitetea? Wanahofia nini?
Wanahofia mchizi wa Kremlin (anayetishia kuangaamiza dunia) kuchizika zaidi. Siyo Biden tu mamilioni wa binadamu wanawaza/watafurahia anguko la Putin.
 
Maneno yote aliyo yaongea Biden sina tatizo nayo ila hapa “For God’s sake” [emoji15][emoji15] kwamba.....???? Au mie ndo sijaelewa?

Tuna wakalimani wa Bongo movie
Huyu Mtu hawezi kuendelea kuwa madarakani
Na huyu mtu hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu,

Ni maana mbili tofauti kabisa kwanini tulishwe tango? Na wengine wanamezea tu
 
... loud, clear, and to the point! Hakuna kupindapinda kauli kwa wauwaji kama Putin; gaidi kabisa yule! Enzi zake zimekaribia mwisho.
ha ha ha.wenzio ikulu wamerudi kutengua kauli huko[emoji23][emoji23][emoji23]. kitufe Cha request to shoot supersonic bomb,Putin alikuwa anakichabo kwa mbaaali. Uzuri wametengua kauli mapema iwezekanavyo[emoji23][emoji23].
 
... loud, clear, and to the point! Hakuna kupindapinda kauli kwa wauwaji kama Putin; gaidi kabisa yule! Enzi zake zimekaribia mwisho.
We jamaa unamchukia sana putin ungekuwa karibu ningekuvunjia yai kwenye nkandu
 
Wewe hiyo dawa yako maana una mdomo mrefu kama chuchungi hivyo tunakumwagia yai kwenye nkandu
... nimekuuliza ndio masela wanakufanyia hivyo hapo mtaani kwenu? Choko umeanza kuji-expose? Punguani wahed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…