Biden awapongeza wanajeshi kwa kufanikiwa kulitungua Balloon la China

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
2,005
Reaction score
19,579
IMG_8884.jpg

President Joe Biden on Saturday congratulated fighter pilots for taking down a Chinese spy balloon off the east coast after it spent several days flying over the United States.

"They successfully took it down. And I want to compliment our aviators who did it," Biden told reporters in Maryland.

AFP
 
Ach tu kila mtu jf anaijui US nje ndani
Wanachekesha kweli!! Hivi taifa linalokimbiza dunia kwenye kila nyanja, tena kwa kitambo kirefu huku maadui zake wakikesha bila mafanikio kutafuta mbinu za kuwaangusha, wanaweza kufanya mambo kwa kukurupuka?!!! Unafikiri Biden angelikuwa mjinga mjinga tu wangempa kirahisi like linchi?!!!!
 
Marekani inaongozwa na dark suit men hawa ndo wanaamua Rais awe nani na lengo lao kubwa ni NWO uyo biden kawekwa na watu lengo kutimiza agenda zao pole sana ila ipo siku ubongo wako utafunguka.
 
Mmarekani aliabishwa sana na Osama Bin Laden kwa kupigwa Makao Makuu ya Jeshi tena wing ya watalaamu wa Pentagon pia World Trade Centre au hujui?? Hana ukubwa wowote!!
 
Kwa maana hiyo nchi ile si itakuwa kila rais anawekwa na hao 'waongozaji' wanaoitwa dark suit men au? Kama ni hivyo kwanini mumpigie kelele Biden tu na sio na wengine pia au hao dark suit men wanakuwa kipindi cha Biden tu?!!!!

Hongera wewe 'uliyefunguka' ubongo na kuwa mjuzi.....ingawa nina mashaka inawezekana baada ya ubongo wako kufunguka basi kuna nutrients fulani ziliondoka kwa njia ya mvuke na sasa yamebaki makapi makavu tu humo kichwani.
 
Mmarekani aliabishwa sana na Osama Bin Laden kwa kupigwa Makao Makuu ya Jeshi tena wing ya watalaamu wa Pentagon pia World Trade Centre au hujui?? Hana ukubwa wowote!!
Haya kiongozi!
Ila elewa tu kuwa kama marekani angekuwa dhaifu basi kila dakika kungelikuwa na mashambulizi dhidi yake.
 
Back
Top Bottom