Biden awapongeza wanajeshi kwa kufanikiwa kulitungua Balloon la China

Acha mzaha mkuu. Marekani siyo kama Iran. Hivi Osama yuko wapi sasa?
Sasa super power anatumia miaka zaidi ya kumi tena kwa kusaidiwa na mataifa kibao kumpata gaidi mmoja tu. Maana yake Osama alikuwa super power zaidi yao ukitilia maanani mbinu aliyotumia kuwapiga mpaka sehemu zao nyeti. Osama he was very inteligence than them!!
 
Marekani inaongozwa na dark suit men hawa ndo wanaamua Rais awe nani na lengo lao kubwa ni NWO uyo biden kawekwa na watu lengo kutimiza agenda zao pole sana ila ipo siku ubongo wako utafunguka.
Dark suit wanaongoza dunia nzima, sio USA pekee,hata huko China.
 
Sasa super power anatumia miaka zaidi ya kumi tena kwa kusaidiwa na mataifa kibao kumpata gaidi mmoja tu. Maana yake Osama alikuwa super power zaidi yao ukitilia maanani mbinu aliyotumia kuwapiga mpaka sehemu zao nyeti. Osama he was very inteligence than them!!
Yule mvaa kobazi aliwafanya mbaya sana
 
Back
Top Bottom