wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Yaani Puto lililokua linachezewa na mtoto wa kichina ndio limewatesa hivi Jeshi la Marekani?😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani inaongozwa na dark suit men hawa ndo wanaamua Rais awe nani na lengo lao kubwa ni NWO uyo biden kawekwa na watu lengo kutimiza agenda zao pole sana ila ipo siku ubongo wako utafunguka.
Humu kuna majinga meng sana, mnadhan marekan wanafanya mambo kwa kukurupuka kama bongo, walichelewa kulidungua ili walichunguze je kama lina sumu au virusi vya ugonjwa fulan kwmb mkilipasua tu mmeisha, kuna majinga humu yanashangaa sku zote hzo walishndwa nn kulilipua..
US ni wanyama sana ingekuwa baloon la US lipo anga la China wachina wasingejua wafanye nini mavi kitambaaniHapo kiroho chake iimetulia naona kaacha kujinyea nyea sasa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na Putin alikuwa wa kwanza kamtahadhalisha Bush mapema kabisa kwamba kuna jambo kubwa linakuja. Baada ya jasusi mbobevu kuunganisha dots kwa tukio la USS Cole na balozi za Dar na Nairobi. Alimpigia simu akamwambia kuwa makini huenda kuna jambo kubwa zaidi linakuja. Wamarekani nao wana uzembe wao kwenye inteligenceMmarekani aliabishwa sana na Osama Bin Laden kwa kupigwa Makao Makuu ya Jeshi tena wing ya watalaamu wa Pentagon pia World Trade Centre au hujui?? Hana ukubwa wowote!!
Acha mzaha mkuu. Marekani siyo kama Iran. Hivi Osama yuko wapi sasa?Mmarekani aliabishwa sana na Osama Bin Laden kwa kupigwa Makao Makuu ya Jeshi tena wing ya watalaamu wa Pentagon pia World Trade Centre au hujui?? Hana ukubwa wowote!!
Kuliko tulivyopatikana sisi? Au ya kwetu tulishazoea?US wamepatikana
Sijui kwanini huu ujuaji wa mambo ya US hatu utumii hapa kwetu ili tujikomboe walau na umaskini wa Ncji yetu.Ach tu kila mtu jf anaijua US nje ndani
Hata Mimi nimeshangaa!Kweli kupiga puto nayo ni habari ya kupongezwa na Rais?Duuh Rais anapongeza wanajeshi kupiga puto, au mim ndo sijaelewa jaman
Tuonee huruma unatupa strong tea lakini bila sukari tumebaki kuitazama tu hatuwezi kunywa.Marekani inaongozwa na dark suit men hawa ndo wanaamua Rais awe nani na lengo lao kubwa ni NWO uyo biden kawekwa na watu lengo kutimiza agenda zao pole sana ila ipo siku ubongo wako utafunguka.
Una uhakika kwa kile unachokisema au basi tu!! Mara ngapi hapa Serikali ya Anerika inawalalamikia wachina kwa kudukuwa mafaiki yao sensitive kutija Pentagon na viwanda vya kuunda 5th Generation ndege na silaha za kisasa kabisa - ma-terabytes za mafaili yanadukuliwa any time, na hii si kwa Wanasayansi wa kichina tu hata Wanasayansi wa Korea Kaskazini wanawaliza Wamerikani kila siku kwa kudukuwa siri zao za masuala ya silaha na blue prints za ndege zao za kivita including F-35 - ushahidi hupo wa kuonyesha Wamerika wakipiga kelele na kulalama ovyo kuhusu udukuzi wa Wachina na Wakorea kasikazini taifa ambalo US udai liko nyuma sana kwenye masuala ya sayansi na teknolojia na wanakufa njaa kila siku!!Mchina bado ni mtoto kwenye kufanya ujasusi
Japan naye ameanza kushirikiana na US kuchunguza vitu vilivyoonekana vikipita kwenye anga la japan mwaka 2020 na 21 ambavyo awali walivichukulia poa sasa wameanza kuhusi yalikuwa mabaloon ya mchainiziUS wamepatikana urais wa awamu hii
Kuna watu wao kwao US ni alfa na omega hata kama US mwenywe atakili jambo bado watasema anamlaghai mchina.Una uhakika kwa kile unachokisema au basi tu!! Mara ngapi hapa Serikali ya Anerika inawalalamikia wachina kwa kudukuwa mafaiki yao sensitive kutija Pentagon na viwanda vya kuunda 5th Generation ndege na silaha za kisasa kabisa - ma-terabytes za mafaili yanadukuliwa any time, na hii si kwa Wanasayansi wa kichina tu hata Wanasayansi wa Korea Kaskazini wanawaliza Wamerikani kila siku kwa kudukuwa siri zao za masuala ya silaha na blue prints za ndege zao za kivita including F-35 - ushahidi hupo wa kuonyesha Wamerika wakipiga kelele na kulalama ovyo kuhusu udukuzi wa Wachina na Wakorea kasikazini taifa ambalo US udai liko nyuma sana kwenye masuala ya sayansi na teknolojia na wanakufa njaa kila siku!!
Leo hii tena wabobezi wa propaganda na mikwara lukuki wanatujia na zuga ya mwaka ndio eti : wamefanikiwa ku-shoot down a subsonic flying balloon ya kuchunguza hali ya hewa tu, lakini USA inadai eti ilikuwa inajihusisha na masuala ya kijasusi - wachina wana haja gani ya kutumia balloon zinazo onekana kirahisi Duniani wakati wana multitude ya low orbit flying satellites za kuchunguza kila kitu ikiwemo kupigapicha za high resolution na kunasa mawasiliano ya kiraia na kijeshi nchini Merikani - USA ikumbuke kwamba Uchina ya leo sio wa mwaka 1947 - Americans should stay home put waachane na tabia zao za kujiingiza kwenye masuala ya ndani ya mataifa ambayo ni huru na kuchochea mataifa yapigane vita kwa manufaa ya viwanda vyao vya kuunda silaha - wakumbuke kwamba kwenye sakata hili la Ukraine Russia is not alone ana marafiki zake wenye uwezo mkubwa kivita just in case - watamchangia na kumumaliza kabisa hata kana ana silaha za kinuklia wamejwisha jua wata deal naye vipi na watajikinga vipi - sisemi na wao hawa adhilika lakini Merikani ndio itachakazwa zaidi - sema mbayo taka lakiniukweli ndio huoDunia imekwisha choshwa na udhalimu wa taifa hili.
Tunaweza sasa ? Kazi yetu kubwa kuconnect dot umbeq wa mange kimambi na kina dr mwake na phd tetereSijui kwanini huu ujuaji wa mambo ya US hatu utumii hapa kwetu ili tujikomboe walau na umaskini wa Ncji yetu.
Tuonee huruma unatupa strong tea lakini bila sukari tumebaki kuitazama tu hatuwezi kunywa.
Marekani inaongozwa na dark suit men hawa ndo wanaamua Rais awe nani na lengo lao kubwa ni NWO uyo biden kawekwa na watu lengo kutimiza agenda zao pole sana ila ipo siku ubongo wako utafunguka.
Hiiii Yani ka puto tu ndo mnakuza mada hivi. Mi nikajua li dude Fulani hv kubwaa lilirushwa hewani .US ni wanyama sana ingekuwa baloon la US lipo anga la China wachina wasingejua wafanye nini mavi kitambaani
Sio lile la birthday mkuuHiiii Yani ka puto tu ndo mnakuza mada hivi. Mi nikajua li dude Fulani hv kubwaa lilirushwa hewani .