Ndivyo nilivyosoma kupitia ukurasa wa CNN asubuhi hii, Biden amevunja record ya ajira kwa 6.6 million added kuliko marais wote waliowahi kushika madaraka marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja toka aingie madarakani.
Kuna watu humu walijaribu kutaka kulinganisha utawala wake na aliyepita Bw Trump ambaye alidumu kwa awamau moja tu akatika uongozi wake na kushindwa kwa kishindo kitakatifu dhidi ya Biden mwaka mmoja uliopita.
Na hii ndio ilikuwa kiu kubwa kwa Wamarekani walio wengi zaidi kuona wanapata ajira na kunufaika na nchi yao.
Natanguliza shukurani