Biden hakukosea ndio mpango uliokuwepo, ila ametoa Siri kizembe. USA walimshindwa Castro, watamuweza Putin?

Niliona Kwenye mtandao sijui Kweli au propaganda kwamba mtu atakaye muua Putin ni binti yake!
[emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20220326-013126.jpg
 
Kwny Hizo nchi hapo chini(Syria,Libya, Afghanistan,Iraq) wamama na watoto walikua wanaenjoy saaana namna USA/NATO walivyokua wakizifanyia nchi zao.View attachment 2167962

Hizo vita zote zimejadiliwa hapa JF kwa undani sana. Uongo uliotumika na uovu uliyofanywa na Marekani, Ulaya na Urusi katika kila eneo vimechambuliwa kwa undani. Hata katika vyombo vya habari vya Marekani hizo vita zimeandikwa sana. Aliyekuwa Rais Marekani George Bush, Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair wametajwa kama war criminals.

Hata Obama na Rais wa ufaransa wanaendelea kulaumiwa sana katika nchi zao kwa vita ya Libya na mauaji ya Gaddafi yasiyo na sababu. Urusi yenyewe imeangamiza miji kadhaa ya Sirya na maelfu ya raia huko kwa mashambulizi ya anga ili kumsaidia Rais Assad dhidi ya maadui wake kwa mtindo huu huu wa Ukraine.

Haya mambo si ya kushabikiwa bali kutafutiwa ukweli na suluhisho hasa pale maisha ya binadamu yanapoangamia. Hakuna sababu ya maana kwa Ukraine kubomolewa na raia wake kuuawa kiasi hicho. Si memba wa NATO. Kama kweli tatizo ni USA na NATO basi Putin ashambulie nchi za NATO moja kwa moja kuanzia na zile zilizo jirani na Urusi.
 
Mimi nisiwe mnafiki natamani sana Russia afanikiwe mission yake ya hii operation lakini nikija kwa upande wa thread yako uko sahihi sana , namna wanavyoweza kumuua jamaa itafanywa shambulio la kushtukiza kwa Putin akiwa nje ya Russia (kama walivyofanya kwa general wa Iran) kwasababu intelligence yao inaonesha Russia bila Putin hakuna kitu pale, wameanza kumpa jina kwamba yeye ni mhalifu wa kivita ili wa-justify mission yao....so hilo lipo wazi mpaka sasa na nadhani wanalifuatilia kwa makini kama ulivyosema

Na hili watalifanya siku yoyote hata mwakani, lengo ni kumtoa tu yeye maana hawaoni kama kuna mtu atawasumbua baada ya hapo
Japo wanatamani lakini hawawezi kujaribu kumuua Putin kwa njia kama Qassim Suleiman! Ile njia wakijaribu litatoka kombora Nuclear mpaka Washington.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo vita zote zimejadiliwa hapa JF kwa undani sana. Uongo uliotumika na uovu uliyofanywa na Marekani, Ulaya na Urusi katika kila eneo vimechambuliwa kwa undani. Hata katika vyombo vya habari vya Marekani hizo vita zimeandikwa sana. Aliyekuwa Rais Marekani George Bush, Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair wametajwa kama war criminals.

Hata Obama na Rais wa ufaransa wanaendelea kulaumiwa sana katika nchi zao kwa vita ya Libya na mauaji ya Gaddafi yasiyo na sababu. Urusi yenyewe imeangamiza miji kadhaa ya Sirya na maelfu ya raia huko kwa mashambulizi ya anga ili kumsaidia Rais Assad dhidi ya maadui wake kwa mtindo huu huu wa Ukraine.

Haya mambo si ya kushabikiwa bali kutafutiwa ukweli na suluhisho hasa pale maisha ya binadamu yanapoangamia. Hakuna sababu ya maana kwa Ukraine kubomolewa na raia wake kuuawa kiasi hicho. Si memba wa NATO. Kama kweli tatizo ni USA na NATO basi Putin ashambulie nchi za NATO moja kwa moja kuanzia na zile zilizo jirani na Urusi.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20220326-213935.jpg
 
Yes, japo marekani walisema hayo yalikuwa maoni ya Biden na mwenyewe Biden amesema siyo kwamba karopoka it's real kuwa that Russia president lazima atoke.

Tuseme sasa Marekani inajipanga kivita na Urusi.

Naona vita kuu ingine ya dunia ikija.

Naungana na Biden, wamtoe huyu gentleman maana wamama na watoto wanateseka huko Ukraine.
Umeona wamama na watoto Tu wanaume huwaoni na wazee kwamba nyie ni muhimu sana kwenye hii dunia
 
Yes, japo marekani walisema hayo yalikuwa maoni ya Biden na mwenyewe Biden amesema siyo kwamba karopoka it's real kuwa that Russia president lazima atoke.

Tuseme sasa Marekani inajipanga kivita na Urusi.

Naona vita kuu ingine ya dunia ikija.

Naungana na Biden, wamtoe huyu gentleman maana wamama na watoto wanateseka huko Ukraine.
Russia anasilaha hatari kuliko Marekani hii ni kutokana na wamarekani wenyewe alafu Marekani hawezi kushinda vita na urusi wala kumuondoa Putin.
 
Kwa kifupi Biden hajaropoka TU,Bali amejikuta akitoa Siri kwa kukosa kifua.

Ni kama yule Rais alosema wanajeshi wakiwa vitani halafu akatokea msaliti wanajeshi humshughulikia.mda mfupi baadae Kuna mtu mmoja akamimimniwa vipande vya vyuma mwilini. Rais huyo alijikuta anakosa kifua na hatimae kutoa Siri ya mpanga uliokuwepo nyuma ya pazia.

Joe Biden nae hajajiongelea TU,alichosema ndio kinachopangwa nyuma ya pazia,kwamba kwa namna yoyote Putin lazima atoke madarakani,atoke akiwa hai ama atoke akiwa mfu.

Haya maneno Biden kayatamka kwa kukosa uvumilivu TU,na kwa mawazo yangu ni kuwa Kuna mpango nyuma ya pazia kwa ama nchi za NATO ama USA peke Yao kumtoa Putin.

Kumtoa kwenyewe Ni kutokana na vita hii,wameprovoke vita,wakamwekea vikwazo vya kufa mtu,wakiwasaidia wa Ukraine kwa silaha,ili vita iwe ngumu kwa Urusi.

Kwa vikwazo na vita hii watu wa Urusi wateseke waichukie Serikali ya Putin waandamane na wampondue Putin. Ama matajiri na wafanyabiashara wakubwa waone Kua kua. Uwezekano wa kufilisika na wakuu wa vyombo vya usalama waone hakuna sababu ya vita,na waone ugumu wa vita Kisha kwa Siri waandae mapinduzi ya wazi ama ya kificho. Kumpiga risasi,Sumu au namna yoyote Ile.

LAKINI.
Baada ya vita hii kuanza wananchi wa Urusi wameoneka watulivu na wanafatilia vita hii kwa umakini mkubwa. Njia za kudhibiti ama kupunguza makali ya vikwazo zinachukuliwa kwa umakini mkubwa.

Urusi imesema inafatia kwa umakini mkubwa sana kauli ya Biden. Urusi Ina majasusi Bora kabisa hapa duniani.kwa kauli hiyo majasusi hao kwao hii ni operation mpaya. Ingawa tayari walikua wanajua Kila mipango inayofanyika nje na ndani ya Urusi dhidi ya taifa lao ama Rais wao.

Marekani kwa takrinan miaka 30 walikua wana mpango wa kutaka kumuua Fidel Castro wa Cuba,nchi ndogo na ilio jirani kabisa na USA lakini walimshindwa.na Hadi Fidel alistaafu urais na kumuachia mdogo wake Raul. Na baadae alikuja kufa kifo Cha kawaida kabisa akiwa mstaafu.

Nadhani USA wanatamani sana kumuua Rais wa Korea Kaskazini huyu aliyepo na nadhani walitamani sana kumuua Rais aloepita yaani baba yake na Kim jong UN huyu Rais wa Sasa.

Nadhani USA wanatamani sana kuuangusha utawala wa Sasa wa Iran.

Nadhani Iko wazi kuwa USA wakitaka kumtoa madarakani ama kwa kumuua ama kumpindua na kukimbia nchi raia Assad wa Syria.
Lakini alikingiwa kifua na Urusi.

Nadhani USA wakitaka kumuua ama kumpindua Nikolas Maduro lakini alikingiwa kifua na Urusi.

Sasa Leo mkingia kifua wenzie ndi Biden anataka kumtoa.

Je Leo USA anaweza kumuua Rais Wa Urusi?

Nchi kubwa na yenye majasusi mahili kabisa hapa duniani?

Je wananchi wa Urusi wako tayari kumtoa Putin kwa maandamano?

Ikumbukwe kwamba USA iliwahi kupoteza Rais wake mmoja kwa kupigwa Risasi na watu wasiojulikana.

Haya ni maoni yangu TU jamani.

Mimi nimejaribu kufikiria TU kuwa huenda Biden karopoka Siri iliyokuwepo.
Na kabla ya Biden kuna Seneta wao mmoja aliyasema haya haya mwanzo kabisa mwa Operation.
 
Baada ya Boris Johnson anaefata ni Biden.......wananchi wao wamewachoka..............walijua wataitetemesha urusi na Putin kwa sasa wanatetemeka wao.......Mfaransa na Mjerumani wanawachora tu Marekani na shoga yake UK maana nao wanaham ya kua wakubwa wa pale EU hawapendi kabisa influence ya mmarekani na muingereza kwenye mambo yao,,,,,,,picha acha liendelee kunoga
 
Hizo vita zote zimejadiliwa hapa JF kwa undani sana. Uongo uliotumika na uovu uliyofanywa na Marekani, Ulaya na Urusi katika kila eneo vimechambuliwa kwa undani. Hata katika vyombo vya habari vya Marekani hizo vita zimeandikwa sana. Aliyekuwa Rais Marekani George Bush, Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair wametajwa kama war criminals.

Hata Obama na Rais wa ufaransa wanaendelea kulaumiwa sana katika nchi zao kwa vita ya Libya na mauaji ya Gaddafi yasiyo na sababu. Urusi yenyewe imeangamiza miji kadhaa ya Sirya na maelfu ya raia huko kwa mashambulizi ya anga ili kumsaidia Rais Assad dhidi ya maadui wake kwa mtindo huu huu wa Ukraine.

Haya mambo si ya kushabikiwa bali kutafutiwa ukweli na suluhisho hasa pale maisha ya binadamu yanapoangamia. Hakuna sababu ya maana kwa Ukraine kubomolewa na raia wake kuuawa kiasi hicho. Si memba wa NATO. Kama kweli tatizo ni USA na NATO basi Putin ashambulie nchi za NATO moja kwa moja kuanzia na zile zilizo jirani na Urusi.
Mshikwa na ngoz ndiye Mwiz, Ukraine kakubali kuuziwa kesi wacha achapike mpaka arudishe kesi kwa wenyewe.
Anachotakiwa kufanya Ukraine ni kukubaliana na hoja ya Puttin maisha mema yaendelee. Ukraine anakaza fuvu kwa kuwaamini Maboss wake.
 
Naona wanaanza kutoka wao Sasa [emoji23] saa hivi Boris ashatema ndoano [emoji13]
 
Back
Top Bottom