Biden hakukosea ndio mpango uliokuwepo, ila ametoa Siri kizembe. USA walimshindwa Castro, watamuweza Putin?

Kwny Hizo nchi hapo chini(Syria,Libya, Afghanistan,Iraq) wamama na watoto walikua wanaenjoy saaana namna USA/NATO walivyokua wakizifanyia nchi zao.View attachment 2167962

Hizo vita zote zimejadiliwa hapa JF kwa undani sana. Uongo uliotumika na uovu uliyofanywa na Marekani, Ulaya na Urusi katika kila eneo vimechambuliwa kwa undani. Hata katika vyombo vya habari vya Marekani hizo vita zimeandikwa sana. Aliyekuwa Rais Marekani George Bush, Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair wametajwa kama war criminals.

Hata Obama na Rais wa ufaransa wanaendelea kulaumiwa sana katika nchi zao kwa vita ya Libya na mauaji ya Gaddafi yasiyo na sababu. Urusi yenyewe imeangamiza miji kadhaa ya Sirya na maelfu ya raia huko kwa mashambulizi ya anga ili kumsaidia Rais Assad dhidi ya maadui wake kwa mtindo huu huu wa Ukraine.

Haya mambo si ya kushabikiwa bali kutafutiwa ukweli na suluhisho hasa pale maisha ya binadamu yanapoangamia. Hakuna sababu ya maana kwa Ukraine kubomolewa na raia wake kuuawa kiasi hicho. Si memba wa NATO. Kama kweli tatizo ni USA na NATO basi Putin ashambulie nchi za NATO moja kwa moja kuanzia na zile zilizo jirani na Urusi.
 
Japo wanatamani lakini hawawezi kujaribu kumuua Putin kwa njia kama Qassim Suleiman! Ile njia wakijaribu litatoka kombora Nuclear mpaka Washington.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umeona wamama na watoto Tu wanaume huwaoni na wazee kwamba nyie ni muhimu sana kwenye hii dunia
 
Russia anasilaha hatari kuliko Marekani hii ni kutokana na wamarekani wenyewe alafu Marekani hawezi kushinda vita na urusi wala kumuondoa Putin.
 
Na kabla ya Biden kuna Seneta wao mmoja aliyasema haya haya mwanzo kabisa mwa Operation.
 
Baada ya Boris Johnson anaefata ni Biden.......wananchi wao wamewachoka..............walijua wataitetemesha urusi na Putin kwa sasa wanatetemeka wao.......Mfaransa na Mjerumani wanawachora tu Marekani na shoga yake UK maana nao wanaham ya kua wakubwa wa pale EU hawapendi kabisa influence ya mmarekani na muingereza kwenye mambo yao,,,,,,,picha acha liendelee kunoga
 
Mshikwa na ngoz ndiye Mwiz, Ukraine kakubali kuuziwa kesi wacha achapike mpaka arudishe kesi kwa wenyewe.
Anachotakiwa kufanya Ukraine ni kukubaliana na hoja ya Puttin maisha mema yaendelee. Ukraine anakaza fuvu kwa kuwaamini Maboss wake.
 
Naona wanaanza kutoka wao Sasa [emoji23] saa hivi Boris ashatema ndoano [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…