Biden hakukosea ndio mpango uliokuwepo, ila ametoa Siri kizembe. USA walimshindwa Castro, watamuweza Putin?

Wanatambua wana deal na jasus ,hawadiriki hata kukaa vikao na kupanga Hilo ,Kama hamjui Putin Alisha sign Sheria ya kutambua adui wa Taifa lao namba Moja ni USA, hao maofisa wa CIA wanachunguzwa na Russia Kila nukta wanayoipitia unategemea Nini hapo
 
Japo wanatamani lakini hawawezi kujaribu kumuua Putin kwa njia kama Qassim Suleiman! Ile njia wakijaribu litatoka kombora Nuclear mpaka Washington.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakjimix ujue biden atakaangwa akiwa Washington DC akiambatana na safu yake ya CIA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…