Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

Mbuyu ulianza kama uyoga. Viongozi wa CCM na Tanzania: hivi likitokea kundi la ma captain wakaangusha serikali kwa sababu tu ya nafasi ngumu waliyotuweka kidemokrasia na kiutawala bora mtamlilia nani? Mtajiteteaje kwenye jumuia za kimataifa? Nyie katika kundi la watanzania milioni 60 mko 2000 tu (0.00000033%) lakini mnatuponza! Jifikirieni.
 
Look up for Burundi, Rwanda, Ethiopia and Uganda. If they are on the list but Tanzania is not then air out your blames seriously!
Otherwise you just known what others knew since 2015.
 
this is Good move globally. Tutaona wale kenge wanaojicganganya na Mamba.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Look

Look up for Burundi, Rwanda, Ethiopia and Uganda. If they are on the list but Tanzania is not then air out your blames seriously!
Otherwise you just known what others knew since 2015.
Madikiteta hapo hawana nafasi.
 
tanzania kwenda kwenye huo mkutano ni sawa na mwamwindi kujiunga na vyama vya ushirika
 
Huko Libya na Siria sababu ni madikiteta wenyewe. Hivi Imagine kama Uganda kikinuka utalauma mabeberu??
 
Not bad wakuu

Hao watu wakikuita nia yao ni kukupanga tu

Usijisifie kuitwa na mmarekani
Fungu la kukosa anapojitetea. Biden akisema wakati ua UN conference 2021 US itakuwa rafiki wa Nchi za kidemokrasia tu.
 
Demokrasia gani ipo Tanzania, ile ya Wilson Mahera na Jaji Kaijage ambao kabla ya Uchaguzi walienda "kuonana" na Magu Kwanza
Tanzania ni nchi onayotawaliwa kidikteta japo sio wa mtu ni wa Chama.
Walio nje wanatuona mpaka uvunguni.
Wanadhani wazungu ni mazuzu kama wao
 
Tanzania tayari tunademokrasia karibu sawa na Marekani,

Unataka atualike tujafanye nini?

Mwenye Afya hahitaji Tabibu mkuu
Wewe jifanye tu jeuri na madeni yako lukuki kwa wenye ku-control hela
 
Fungu la kukosa anapojitetea. Biden akisema wakati ua UN conference 2021 US itakuwa rafiki wa Nchi za kidemokrasia tu.
Wakati wao ndio wafadhili nambari 1 wa kuua democracy

To them democracy means you are agreeing with them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…