Kenya ambao afisa wa tume ya uchaguzi alikufa muda mchache kabla ya uchaguzi 2017 na taarifa zikaonesha, ama-access database ya tume muda mfupi baada ya kutojulikana yuko wapi??
Raila mwaka 2007 aliibiwa kura mchana peupe na Mwaki Kibani; yet hao "jamaa" hawakukemea. Ila wakapongeza deal ya kugawana madaraka kwa kwa kubadili katiba kwa mpito ila Raila awe PM "kuua soo"
Chris Msando was in charge of the computerised voting system in next week's election.
www.bbc.com
Ni ngumu sana kuwaamini mabeberu. Kama Kenya imo, basi demokrasia ni neno relative sana. Kila mmoja anaweza kuwa na tafsiri yake.
Malawi na Zambia sawa, ila jirani 254, hapana
Basi sawa, kila la kheri kwa waalikwa.