Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

Unajifariji. Utumwa unaozidi kukopa ili ujenge vyoo?
Kukopa na utumwa ni tofauti

Check coubtries profile zao kwenye debts details halafu uongee

Actually chain owns some of USA debts

Achana na propaganda
 
Kenya ambao afisa wa tume ya uchaguzi alikufa muda mchache kabla ya uchaguzi 2017 na taarifa zikaonesha, ama-access database ya tume muda mfupi baada ya kutojulikana yuko wapi??

Raila mwaka 2007 aliibiwa kura mchana peupe na Mwaki Kibani; yet hao "jamaa" hawakukemea. Ila wakapongeza deal ya kugawana madaraka kwa kwa kubadili katiba kwa mpito ila Raila awe PM "kuua soo"



Ni ngumu sana kuwaamini mabeberu. Kama Kenya imo, basi demokrasia ni neno relative sana. Kila mmoja anaweza kuwa na tafsiri yake.
Malawi na Zambia sawa, ila jirani 254, hapana

Basi sawa, kila la kheri kwa waalikwa.
 
Kenya umesikia polisi wamezuia mikutano ya wapinzani?
 

Imesemwa mara nyingi kwamba (hapa jirani) kundi letu sisi la chanda na pete ni:

1. Tanzania, Mozambique, Zimbabwe, Rwanda, Burundi na Uganda. Tambua hakuna mmojawapo kaalikwa.

Upande mwingine kundi wengine ni:

2. Kenya, Malawi, Zambia, na Afrika Kusini. Hawa wamealikwa.

#1 ni dhulumati, wauwaji, wakandamizaji, hakuna demokrasia, nchi kama zimetukwaza nyara nk.

#2 Demokrasia imetamalaki, maisha murua, mahakama huru, haki za binadamu zinaheshimiwa, nk.

Enyi mnaoojita viongozi na timu yenu pichani mnatuaharibia nchi:



Mapenzi yenu na vifua vya tembo ni nyongeza tu katika ubora wenu!
 
Kwa sababu anajua sisi hatuna shida, we do not need a person to lock us in a conference room for 2- 3 days to teach us a simple thing like democracy
 
Tanzania tayari tunademokrasia karibu sawa na Marekani,

Unataka atualike tujafanye nini?

Mwenye Afya hahitaji Tabibu mkuu
Kati ya vichaa wapya wewe unaongoza na huyo kahaba mkuu
 
Kenya umesikia polisi wamezuia mikutano ya wapinzani?


Police force ferry passengers to lie down after firing tear gas and detaining them in Mombasa, Kenya [The Associated Press]


22 Apr 2020 — At least six people died from police violence during the first 10 days of Kenya's dusk-to-dawn curfew, imposed on March 27, 2020

Msingi wa demokrasia ni pamoja na kuheshimu haki za kibanadamu. Wakati wa lockdown watu walikuwa wanapigwa mkong'oto na police.
Haki ya mtu kutoka uliko kurejea nyumbani au kwenda kutafuta ugali ilipuuzwa kabisa.

Ukiniambia police, nasema wazi, Tanzania police wetu hawana ukatili/unyama kama walio nao jirani +254.

Kama unaongea demokrasia au haki za ki-utu, basi Kenya record yao bado iko chini sana kuliko hapa Tz.

Ninaweza kukubali, police wetu kuwa na dosari za hapa na pale kwenya kufuata sheria, ila police wa 254 ni wabaya na wakatili, wala rushwa waziwazi mara kubwa zaidi ya vijana wa Simon Sirro.
 
Je huko marekani kwenyewe kuna Democarasia.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…