Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

Hatua aliyofanya Joe Biden ya kuwaweka hadharani Wanafiki amchambua Mchele pembeni na Pumba pembeni
 
mtajua hamjui. Sasa kenya unataka kuilinganisha na upuuzi gani mwingine?
 
Na wewe usitulishe "matango pori" yako na kutupotosha hapa....

Una maana gani kusema ".........bila kufikiria wazungu...??"

Nani kakuambia Marekani [USA] ni nchi ya wazungu...?
 
Na wewe usitulishe "matango pori" yako na kutupotosha hapa....

Una maana gani kusema ".........bila kufikiria wazungu...??"

Nani kakuambia Marekani [USA] ni nchi ya wazungu...?
Aah na hili tujadili? Wahindi wekundu walimezwa na hao Waafrika wenzetu kwa US ni kama walowezi tu wanaobaguliwa. Ok kwa kifupi US si Mwalimu bora wa democracy . Period!
 
Siyo lazima jeshi liingilie.

Watakaotuponza ni hao MaCCM.
 
Yote kwa yote huwezi fananisha na haya makatili ya huku
 
Tanzania tayari tunademokrasia karibu sawa na Marekani,

Unataka atualike tujafanye nini?

Mwenye Afya hahitaji Tabibu mkuu
We jamaa mbna unawaza hovyo hivi ...Kwahyo licha ya kufungua nchi unahisi Kama Tanzania ingekuwa na demokrasia isingeiiitwaa????

Jitambue wewe..

HAKUNA DEMOKRASIA HAPA DANGANYIKA
 
Acha awaalike wenye kukubali ndoa za jinsia moja. Tuone fahari kutoalikwa mikutano ya kutaka kuteka akili zetu. La msingi tuelewe nia ya marekana sio njema wala haojawahi kua njema kwa nchi changa kama zetu. Hao ni kinara wa mabeberu.
Ona nchi zenye kujitambua na wapambanaji dhidi ya ubeberu kama china, cuba, urusi, venezuela, vietnam, na nyingi zingine hazipo kwenye hiyo orodha. Pia zipo nchi zimealikwa ila zina msimamo wake usiyoyumba. Kuna vibaraka nchini wataona kama issue kutoalikwa na marekani wengine wapo ndani ya serikali ya mama.
 
Kubambikizia watu ugaidi wa kugushi ilisemwa sana itatu- cost na haya ndio matokeo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…