Nani ? Yule baunsa wa baa za kwa kina Messi au nimekosea ?Mara paap, yule papa wa mchongo naye adandie treni
Itakuwa kamzozo
Wabongo wengi wana vichwa vyepesi ni rahisi kuwa brain wash wanamchukia Trump 😂Biden ni shetani anayeonekana.
Hilo ndio Tatizo,mtu huku anapinga vikali ufirauni ila kivitendo ndio anaongoza kuomba au kugawa tako.Kwenye maandishi mnajifanya kama hamtaki ila kwenye matendo binadamu tumekuwa wachafu mno wengi mafirauni tu, waume za watu siku hizi nao wana wake wenza, wamama wanatoa kisamvu kawaida kabisa mbele kushasahaulika, wababa mnalawiti vitoto vidogo ee Mungu simama na tunaokulilia
Tupo, kwani kubinuka kwa mandevu mwenzako.kwa imani yetu ya ki-papa kuna shida gani, tunafunuana tu kwani hara papa francis ametupa idhini ya kubanjuana hadharani, biden oyeeeee....Wazee wa kibarikiana mpo????
Inashangaza sana ..Biden hajapitisha Pasaka kuwa siku hiyo, bali tarehe zimeingiliana. Siku hiyo huadhimishwa kila March, 31
View attachment 2950450
sijawai kuelewa hivi anayef.....rwa huwa ni raha kwake au ni mateso katika kumhudumia mwingine apate raha!!!Hilo ndio Tatizo,mtu huku anapinga vikali ufirauni ila kivitendo ndio anaongoza kuomba au kugawa tako.
Kuna mdada ashawahi niita mshamba kisa sikuwahi ingia next door kwake. Nilimpenda na sikuwahi fanya hivyo sababu nilijua ni binti anakesho yake.Baada ya kuachana akaja kupata shida ya hako kamchezo kachafu.Alikuja kuomba msamaha turudiane akiwa ameshaoza Hawezi ishi kwa raha.
Nikamwambia mimi siwezi ishi na wajanja.
Watu wengi wanajua hili ila wanapenda sana figisu za "identity politics".Biden hajapitisha Pasaka kuwa siku hiyo, bali tarehe zimeingiliana. Siku hiyo huadhimishwa kila March, 31
View attachment 2950450