Biden kapitisha Jumapili ya Pasaka iwe siku ya Mwonekano wa Watu waliobadili jinsia, Trump amlaani na kumtaka awaombe msamaha wakristo.

Biden kapitisha Jumapili ya Pasaka iwe siku ya Mwonekano wa Watu waliobadili jinsia, Trump amlaani na kumtaka awaombe msamaha wakristo.

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Rais wa Marekani, Joseph Biden ametangaza rasmi kwa taifa lake kwamba leo Jumapili ya Pasaka Tarehe 31 Machi ni siku rasmi na maalumu ya kuonyesha mwonekano kwa watu wote waliobadili jinsia,

Trump ameonyesha kukasirishwa kwa maamuzi haya na kumsihi Biden awaombe msamaha mamilioni ya wakristo, Baadhi ya ratiba za ikulu ya Marekani (whitehouse) zilizohusu pasaka miaka ya nyuma zimefutwa ili kupisha siku ya Transgender visibility day,

View: https://twitter.com/POTUS/status/1774511985700352189
 
Mara paap, yule papa wa mchongo naye adandie treni

Itakuwa kamzozo
Nani ? Yule baunsa wa baa za kwa kina Messi au nimekosea ?
20240309_231821.jpg
 
Kwenye maandishi mnajifanya kama hamtaki ila kwenye matendo binadamu tumekuwa wachafu mno wengi mafirauni tu, waume za watu siku hizi nao wana wake wenza, wamama wanatoa kisamvu kawaida kabisa mbele kushasahaulika, wababa mnalawiti vitoto vidogo ee Mungu simama na tunaokulilia
 
Hilo ndio Tatizo,mtu huku anapinga vikali ufirauni ila kivitendo ndio anaongoza kuomba au kugawa tako.

Kuna mdada ashawahi niita mshamba kisa sikuwahi ingia next door kwake. Nilimpenda na sikuwahi fanya hivyo sababu nilijua ni binti anakesho yake.Baada ya kuachana akaja kupata shida ya hako kamchezo kachafu.Alikuja kuomba msamaha turudiane akiwa ameshaoza Hawezi ishi kwa raha.
Nikamwambia mimi siwezi ishi na wajanja.
 
sijawai kuelewa hivi anayef.....rwa huwa ni raha kwake au ni mateso katika kumhudumia mwingine apate raha!!!
Mana nilidhan wanawake wanakuwa wahanga wa wanaume wanaotaka huu mchezo.
Kumbe kuna na wanaotaka kuharibikiwa!!! duuh!
 
Biden hajapitisha Pasaka kuwa siku hiyo, bali tarehe zimeingiliana. Siku hiyo huadhimishwa kila March, 31
View attachment 2950450
Watu wengi wanajua hili ila wanapenda sana figisu za "identity politics".

Halafu kuna wabongo wasioelewa mbele wala nyuma wanarukia mambo tu.
 
Back
Top Bottom