Uko dunia gani. Biden tayari ni Mgombea. Unamchukulia poa wakati amefanya Mambo makubwa. Tatizo watu wameshika LA uzee bila kuangalia kazi alizofanyaAchana na kushinda, hata chama chake wakimsimamisha ntashangaa Sana, wamarekani hawawezi kumpa tena washamuona he is a joke, mtu Kila siku kuanguka, mtu anapoteza ...
Kwa Comment hii ni wazi umeathiriwa na mijadala ya vijiwe vya kahawa! Unazungumzia kushangaa kama chama chake kitamsimamisha ukimaanisha mchakato wa kupitisha wagombea bado haujaanza!? Mtu kuanguka ni ajabu kwako? Hujawahi kuanguka? Hao ambao bado wanamtaka (mashetani) ni stori za kahawani tu na hapo ndipo nilipokudharau zaidi.Achana na kushinda, hata chama chake wakimsimamisha ntashangaa sana, Wamarekani hawawezi kumpa tena washamuona he is a joke, mtu Kila siku kuanguka, mtu anapoteza memory mpaka Kuna muda anasahau yupo wapi, umpe nchi tena, sema marekani inaongozwa na taasisi ingekua huku kwetu rais ana power kama Mungu sijui Hali ingekuaje
Ila huwezi kujua, Dunia sasa hivi inaongozwa na utawala wa shetani, utawala wa Biden umemwaga sana damu huenda wakawa bado wanapendezwa nae
Biden kweli atashinda kwasababu uchumi unaimarika na anacreate kazi nyingi kila mwezi. Sasa hivi Republicans wamekomaa na Immigration na afya ya Biden ndo turufu yao.
Ila natamani sana Trump ashinde lakini ndo hivyo tena. Trump ndo rais sahihi