Biden: Marekani haitaipatia Ukraine Mfumo wa Silaha za Maroketi ya Masafa Marefu yenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Urusi

Putin anatimiza miez 3 akipigana na jeshi lisiloweza kushambulia zaid ya Km 150 its too funny bado mnasapoti kichaa huyu
 
Mara ngap kaomba maongez
 
Wamestuka baada ya kuona javlin nyingi zimeangukia mikonon mwa urusi

Wanaogopa soko la hayo madude lingekufa kama vile lilivyo kufa soko la javlin jana dubai imeamua kuacha kuagiza javlin na kuplan kununua ant tank kutoka israel
Mnajuwa kutunga story
 
Dah!...hatari kweli kweli haya madude.
T14 Armata
 
Biden kazuia makombora yanayoweza kwenda mpaka urusi siyo yale yanayoweza kuwapiga warusi ndani ya Ukraine huko mashariki
 
Ndo hapo mjue
Marekani ni mnafiki wa kiwango Cha SGR.
Hana Nia ya dhati ya kuisaidia Ukraine.

Anampatia silaha butu na outdated ili aendelee kuchapika Zaid na zaidi
 
Hivi kibongo bongo kilometa 500 ni dar mpk wapi[emoji848]
 
Sahii kabisa,
Kitendo Cha kuwatelekeza Azov wa mariupol, kimevunja morali ya wanajeshi.
 
Washampigisha mwenzao kichapo alaf wanamzingua, ndio akome kusikiliza Marekani mzee wa mgogoro yote duniani, alaf hakujifunza tu kuwa Marekani hawezi kuingilia zenye Ballistics Missiles?
Marekani snitch Sana aisee
 
Uwaga sijibizani na watu ambo kwao ubishi ni kipaji. Aljezeela kila siku kwenye news zake wanaonyesha ramani Russia wanavyo advance alafu wewe mmarekani wa tandale unabisha. Huu ni msiba
Mwezi wa 4 sasa ana struggle hakuna hata kijiji 1 alichojihakikishia, akichukua mji leo kesho anafurushwa na kurudishwa nyima alikotoka

Subiri ukrean sasa wapate zile silaha za kupiga masafa mbali zaidi hadi Moscow
 
Mwezi wa 4 sasa ana struggle hakuna hata kijiji 1 alichojihakikishia, akichukua mji leo kesho anafurushwa na kurudishwa nyima alikotoka

Subiri ukrean sasa wapate zile silaha za kupiga masafa mbali zaidi hadi Moscow
Kwa makusudi anapigana vita ya kihuni Ili ichukue Muda mrefu,anaonesha dunia kwamba si lolote si chochote mkijichanganya anazibanika drone huko huko angani.[emoji13]
 
Wewe jamaa acha uongo bhana. Hizo Silaha za Masafa Marefu ambazo Ukraine anazitaka zinatengenezwa Nchini Marekani Kwenye Jimbo la Arizona na Kampuni ya Reython Dynamics. Unaposema Kwamba Urusi atashambulia mahali ambapo Hizo Silaha zinatengenezwa unamaanisha Urusi Arushe Makombola Nchini Marekani Kitu ambacho hata Putin hajawahi kufikilia kufanya. Anaweza kulipiza kwa namna yoyote ile lakini sio Kuishambulia Marekani moja kwa moja,Never.

Kuishambulia Marekani moja kwa moja hakutakamilisha lengo la Urusi kuikomboa Donbass,Bali Malengo yote ya Operation yatakuwa yamekufa,Malengo yatakayokuwa yamebaki kwa Putin baada ya kuishambulia moja kwa moja Marekani Ni jinsi gani Urusi itasurvive baada ya Kuivuta Moja kwa Moja Marekani kwenye Vita.
 
Tatizo kua kihele hele kumemponza , anaongoza nchi kwa kuweka akilini mi rafiki yake marekan akiambiwa fanya hivi kwa urusi anafanya akivimba kumtegemea mtu ,haya ndio madhara ya ushoga. Yani ni sawa unatafuna karanga mbichi na miogo kipindi cha mfua unajipanga kwa mechi kwa kutegemea mke wa mtu hahaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…