wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Labda kama anasukuma mzigo wa mavi.War is deception
Biden anasema hili in public wakati in private anasukuma mzigo kuelekea Ukraine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama anasukuma mzigo wa mavi.War is deception
Biden anasema hili in public wakati in private anasukuma mzigo kuelekea Ukraine
Putin anatimiza miez 3 akipigana na jeshi lisiloweza kushambulia zaid ya Km 150 its too funny bado mnasapoti kichaa huyuAkiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi.
Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za Masafa Marefu ya Mifumo ya Maroketi zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Pia,Rais wa Ukraine aliongeza kuwa bila Silaha Hizo zenye Uwezo wa Kushambulia Masafa Marefu,Nchi Yake itakaribia kushindwa kuiokoa mini Yake ambayo inaendelea kuzingirwa na Urusi.
Ikumbukwe kuwa,Urusi inatumia Silaha za Masafa Marefu kushambulia Kambi za Ukraine Kabla ya Majeshi ya Ardhini ya Urusi Kuingia. Wataalamu wanadai kuwa,Endapo Ukraine itapewa mfumo huo wa Makombora wa Masafa Marefu,Basi Nguvu za kijeshi Kati ya Urusi na Ukraine katika uwanja wa Kivita hasa upande wa vifaa vya kijeshi utakuwa unakaribia kulingana. Lakini wataalamu wanaonya kuwa,baada ya kupata Silaha Hizo haitaishia kushambulia Majeshi ya Urusi yaliyoko ndani ya Ukraine TU Bali wanaweza kwenda mbali zaidi na kushambulia Ardhi ya Urusi.
Mifumo ya Maroketi ya Masafa Marefu ambayo inaombwa na Ukraine inaitwa Multiple Lunch Rocket System(MLRS). MLRS Ina ya Aina Mbili. Aina ya kwanza Ni Makombora 40 ya Masafa ya kati ndani ya mfumo mmoja yenye Uwezo wa Kushambulia Umbali wa 150Km. MLRS Ina Uwezo wa kurusha Makombora yote 40 ndani ya dakika 2 bila kupumzishwa. Aina ya Pili Ni Kombora moja la Masafa Marefu Maarufu Kama * Army Tactical Missile Cruising System ( ATAMCS)* Lenye Uwezo wa kusafiri umbali wa Mile 300 Sawa na 500Km.
Mpaka Sasa,Nchi za Magharibi zimepeleka nchini Ukraine Silaha za Kujilinda TU na za Masafa Mafupi. Ukraine inaona Kama bila Silaha za Masafa Marefu ambazo Urusi anatumia kuishambulia nchi hiyo,Basi Majeshi yake yatashindwa kukabiliana na Majeshi ya Urusi yenye dhana nzito.
Announcement comes after Moscow warned any supply of long-range weaponry would mark ‘unacceptable escalation’. US will not give Kyiv rocket systems that can reach Russia: Biden
Mara ngap kaomba maongezKwa hali hiyo Zelensky akae tu mezani na Putin waongee vita iishe wanajeshi wake na nchi yake isizidi kuharibika, silaha anazoomba ambazo zingeleta challenge kwa Russian army ndio hivyo kashatoswa na wakubwa zake.
Waliokua wanampa moyo mwanzoni na kusifia Ukraine kwamba inaishinda Russia leo hii wamegeuka na kuanza kuionea huruma Ukraine.
Toka jamaa wa mariupol wajisalimishe ilibadili sana upepo wa vita na morale ya wanajeshi wa Ukraine.
Mnajuwa kutunga storyWamestuka baada ya kuona javlin nyingi zimeangukia mikonon mwa urusi
Wanaogopa soko la hayo madude lingekufa kama vile lilivyo kufa soko la javlin jana dubai imeamua kuacha kuagiza javlin na kuplan kununua ant tank kutoka israel
Unafikiri USA ni kama Danganyka rais anajiamulia kufanya kitu chochote na hakuna wa kumuhuliza/kumuwajibisha??War is deception
Biden anasema hili in public wakati in private anasukuma mzigo kuelekea Ukraine
Dah!...hatari kweli kweli haya madude.Mifumo ya Maroketi ya Masafa Marefu ambayo inaombwa na Ukraine inaitwa Multiple Lunch Rocket System(MLRS). MLRS Ina ya Aina Mbili. Aina ya kwanza Ni Makombora 40 ya Masafa ya kati ndani ya mfumo mmoja yenye Uwezo wa Kushambulia Umbali wa 150Km. MLRS Ina Uwezo wa kurusha Makombora yote 40 ndani ya dakika 2 bila kupumzishwa. Aina ya Pili Ni Kombora moja la Masafa Marefu Maarufu Kama * Army Tactical Missile Cruising System ( ATAMCS)* Lenye Uwezo wa kusafiri umbali wa Mile 300 Sawa na 500Km.
Sahii kabisa,Kwa hali hiyo Zelensky akae tu mezani na Putin waongee vita iishe wanajeshi wake na nchi yake isizidi kuharibika, silaha anazoomba ambazo zingeleta challenge kwa Russian army ndio hivyo kashatoswa na wakubwa zake.
Waliokua wanampa moyo mwanzoni na kusifia Ukraine kwamba inaishinda Russia leo hii wamegeuka na kuanza kuionea huruma Ukraine.
Toka jamaa wa mariupol wajisalimishe ilibadili sana upepo wa vita na morale ya wanajeshi wa Ukraine.
Marekani snitch Sana aiseeWashampigisha mwenzao kichapo alaf wanamzingua, ndio akome kusikiliza Marekani mzee wa mgogoro yote duniani, alaf hakujifunza tu kuwa Marekani hawezi kuingilia zenye Ballistics Missiles?
Kwann mkuu?[emoji28]US kama sigara nyota
Mwezi wa 4 sasa ana struggle hakuna hata kijiji 1 alichojihakikishia, akichukua mji leo kesho anafurushwa na kurudishwa nyima alikotokaUwaga sijibizani na watu ambo kwao ubishi ni kipaji. Aljezeela kila siku kwenye news zake wanaonyesha ramani Russia wanavyo advance alafu wewe mmarekani wa tandale unabisha. Huu ni msiba
Kwa makusudi anapigana vita ya kihuni Ili ichukue Muda mrefu,anaonesha dunia kwamba si lolote si chochote mkijichanganya anazibanika drone huko huko angani.[emoji13]Mwezi wa 4 sasa ana struggle hakuna hata kijiji 1 alichojihakikishia, akichukua mji leo kesho anafurushwa na kurudishwa nyima alikotoka
Subiri ukrean sasa wapate zile silaha za kupiga masafa mbali zaidi hadi Moscow
Wewe jamaa acha uongo bhana. Hizo Silaha za Masafa Marefu ambazo Ukraine anazitaka zinatengenezwa Nchini Marekani Kwenye Jimbo la Arizona na Kampuni ya Reython Dynamics. Unaposema Kwamba Urusi atashambulia mahali ambapo Hizo Silaha zinatengenezwa unamaanisha Urusi Arushe Makombola Nchini Marekani Kitu ambacho hata Putin hajawahi kufikilia kufanya. Anaweza kulipiza kwa namna yoyote ile lakini sio Kuishambulia Marekani moja kwa moja,Never.Kitu kinacho wafanya waogope kumpa ni kwamba walitakiwa kumpa ili kujilinda ndani ya nchi yake tu ilo ndiyo shariti ila Zelensky ana hasira sana hivyo lazima atataka kutanua huo mzozo hadi nato hivyo atashambulia ndani ya urusi kwa hsyo makombora , hivyo urussi atalazimika kulipua viwanda na maghara ya hozo siraha kwenye nchi za nato hapo vita vya dunia vitakuwa ON
Tatizo kua kihele hele kumemponza , anaongoza nchi kwa kuweka akilini mi rafiki yake marekan akiambiwa fanya hivi kwa urusi anafanya akivimba kumtegemea mtu ,haya ndio madhara ya ushoga. Yani ni sawa unatafuna karanga mbichi na miogo kipindi cha mfua unajipanga kwa mechi kwa kutegemea mke wa mtu hahaahAkiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi.
Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za Masafa Marefu ya Mifumo ya Maroketi zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Pia,Rais wa Ukraine aliongeza kuwa bila Silaha Hizo zenye Uwezo wa Kushambulia Masafa Marefu,Nchi Yake itakaribia kushindwa kuiokoa mini Yake ambayo inaendelea kuzingirwa na Urusi.
Ikumbukwe kuwa,Urusi inatumia Silaha za Masafa Marefu kushambulia Kambi za Ukraine Kabla ya Majeshi ya Ardhini ya Urusi Kuingia. Wataalamu wanadai kuwa,Endapo Ukraine itapewa mfumo huo wa Makombora wa Masafa Marefu,Basi Nguvu za kijeshi Kati ya Urusi na Ukraine katika uwanja wa Kivita hasa upande wa vifaa vya kijeshi utakuwa unakaribia kulingana. Lakini wataalamu wanaonya kuwa,baada ya kupata Silaha Hizo haitaishia kushambulia Majeshi ya Urusi yaliyoko ndani ya Ukraine TU Bali wanaweza kwenda mbali zaidi na kushambulia Ardhi ya Urusi.
Mifumo ya Maroketi ya Masafa Marefu ambayo inaombwa na Ukraine inaitwa Multiple Lunch Rocket System(MLRS). MLRS Ina ya Aina Mbili. Aina ya kwanza Ni Makombora 40 ya Masafa ya kati ndani ya mfumo mmoja yenye Uwezo wa Kushambulia Umbali wa 150Km. MLRS Ina Uwezo wa kurusha Makombora yote 40 ndani ya dakika 2 bila kupumzishwa. Aina ya Pili Ni Kombora moja la Masafa Marefu Maarufu Kama * Army Tactical Missile Cruising System ( ATAMCS)* Lenye Uwezo wa kusafiri umbali wa Mile 300 Sawa na 500Km.
Mpaka Sasa,Nchi za Magharibi zimepeleka nchini Ukraine Silaha za Kujilinda TU na za Masafa Mafupi. Ukraine inaona Kama bila Silaha za Masafa Marefu ambazo Urusi anatumia kuishambulia nchi hiyo,Basi Majeshi yake yatashindwa kukabiliana na Majeshi ya Urusi yenye dhana nzito.
Announcement comes after Moscow warned any supply of long-range weaponry would mark ‘unacceptable escalation’. US will not give Kyiv rocket systems that can reach Russia: Biden
Hiyo Dar hadi dodomaHivi kibongo bongo kilometa 500 ni dar mpk wapi[emoji848]
Aisee[emoji848]Hiyo Dar hadi dodoma
😅😅😅 eeh kama una ki mzigo una attach kanafika chap chapAisee[emoji848]
Maana ake bomu linasafiri hewani masaa Kama yutong[emoji28]
Inaweza fika Dar to Singida sababu barabara ina makonakona lakini missile ni straightHiyo Dar hadi dodoma