Biden: Ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi itakapohakikisha Hamas imefutika na wamebaki raia Wema wa Palestine!

Biden: Ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi itakapohakikisha Hamas imefutika na wamebaki raia Wema wa Palestine!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine

Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas umefika

Source BBC news
 
Na iwe
 
Huyu mwamba asingekuwepo huko mido east sijui ingekuwaje leo..🤨
 
Sasa marekani ilishindwa Vietnam, Somalia, Afghanistan. Na sasa Ukraine inapumulia mashine. Ni kitu gani hicho kinachoipa confidence kuwa Inaweza kuisaidia Israel?

BWANA asipolinda mji, aulindaye afanya kazi bure
 
Wenzako wanajaza Maji ya Chumvi huko!

Shughuli imeisha hata Putin amekubali matokeo [emoji23]
Uaniona hii [emoji116]ni leo asubuhi Gaza unaweza kuwahi mazishi ni saa 10 huko Ashdod . Hii ngoma bado mbichi sanaa.
Screenshot_20231213_111047_X.jpg
 
Ukiwa puppets wa elites unasema kila kitu unachojickia, vip vietnamu,Libya,iraq,somalia,yugoslavia na afghanistan walienda kwa ajili ya kuwasaidia raia waliowema! Hii dunia kweli ipo ukingoni maana western media sasa hazioni aibu katika kutoa habari za uongo.
 
Kwa hiyo unataka waitangazie dunia kwamba Israel imefutwa kwenye ramani ya dunia ndio ionekane kwamba wametoa habari za ukweli.

You must be crazy if not cretin.
 
Kwa hiyo unataka waitangazie dunia kwamba Israel imefutwa kwenye ramani ya dunia ndio ionekane kwamba wametoa habari za ukweli.

You must be crazy if not cretin.
Usinikulupukie maana hakuna sehemu yeyote ambayo nimesapoti Wayahudi feki wa kizungu wafutwe, ungesoma vizuri kabla ya kuniquote kwa mahaba yako.

Mie pia napenda palestina na isreali waishi kwa amani. Ndio maana namshukuru MUNGU kwa mapenzi yake kuamua nizaliwe Tanzania.
Lakini usichokijua wew nikwamba Hawa puppets kina biden wanatumiwa kama kondom na watu hatari ambao wamewaweka hapo ili kusaidia kufanikisha mipango yao miovu katika dunia hii. Afu tumia lugha nzuri unaponiquote.
 
Back
Top Bottom