Lugha nzuri ni ipi..😛😛Usinikulupukie maana hakuna sehemu yeyote ambayo nimesapoti Wayahudi feki wa kizungu wafutwe, ungesoma vizuri kabla ya kuniquote kwa mahaba yako.
Mie pia napenda palestina na isreali waishi kwa amani. Ndio maana namshukuru MUNGU kwa mapenzi yake kuamua nizaliwe Tanzania.
Lakini usichokijua wew nikwamba Hawa puppets kina biden wanatumiwa kama kondom na watu hatari ambao wamewaweka hapo ili kusaidia kufanikisha mipango yao miovu katika dunia hii. Afu tumia lugha nzuri unaponiquote.